witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mnooo.....vitu vyembamba huvijui nini wewe?Ila zama ana sifa!!! Loh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnooo.....vitu vyembamba huvijui nini wewe?Ila zama ana sifa!!! Loh
Yale Yale ya muna umeona eeehh!Ooooh sisi wanawake jamani[emoji24] [emoji24] ....mi mtu akinisaidia simfanyii ubaya kamwe!
Maskini utakuta na kamloga mkaka wa watuu
Aliitambulisha rasmi kwenye 40 ya mtoto wa babu taleAlisema anayo.
Ilipika nyumba ya imani.
Sijui hata waliishia wapi na hiyo nyumba ya imani..AAAH MJINI KUNA MAMBOO
Fontana cuteee!!!wadada wa mjini wana mambooFredy anampenda sana Neema hadi kero.
Alishindwa kukumbuka fadhila.
Hahahaha...navijua dear..vinajikuza hatari..ila hiki ki Miss perfect kimezidiMnooo.....vitu vyembamba huvijui nini wewe?
Walioenda wanasema hawajulikani hata walikotokea.Kila group walichukua watu watatu so almost 18
Ooooh yes,yesAliitambulisha rasmi kwenye 40 ya mtoto wa babu tale
😳😳😳😳😳😳😳😳Kama Gigy ananunua wigi mil 6,
Mil 20 bado ndogo kwa sherehe
Hii hii Pemba au?Namna ulivyoandika ni jibu tosha wewe na kariba ya wakina "Mwajuma ndala ndefu". Ukute ni li-single mama limeshazalishwa hovyo kama mbwa Wa uswahilini.
Narudia tena acheni kujilinganisha na wanawake Wa kipemba. Watoto wana lafudhi tamu kama wanakula asali ya Tabora. Sio mingumbalu inaongea kama trekta za kulimia majaruba ya mpunga huko ileje.
Big brand wanazo kina kim kardashian atakuwaga nayo huyo zama hyo brand ,basi ni mtu ambae ameji disvalue kwa mauongo yake na kujiona yuko perfect kuliko wengine na ni kitu kibaya sana sijui arobain umetumia mil.20 inahusu nini sasa ujinga tu.Huyu Dada kwa magazeti halafu kujifanya yeye ni Big brand hahaaaassss
Kumbe ndo Fontana?Huyu Fontana ni mgomvi tu maana nilianza kumshusha alivyomtukanaga Irene uwoya halafu Irene wala hakumjibu hata neno mojaaa kajiropokeshaa weeee!kakaa kimya Leo naona kamfata hamisaa hana lolote huyu!
Mh hongera yake boss ladySio catering ana macatering na maduka ya nguo kibao hapa mjini ( according to her)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wameshanyamaza ila ndo imeshatufikia tunaanza kufukua na makaburi ya wengine, safari moja huanzisha nyingine😀😀
NN unafkr ni nguo?Hao wadada bado wanagombana kuhusu hiyo nguo?
Driveling idiots!
KabisaaaYale Yale ya muna umeona eeehh!
Fredy hajafika kutoa talaka kisa eti ipo siku neema atarudi kwake no way.Huyu dada namjua toka miaka 10 nyuma huko kwenye 2004 - 2007.
Alikua ni rafiki wa sister ni kakubwa kweli basi tu kujitia utoto
Akaja akaolewa na kaka mmoja anaitwa Fredy anafanyia channel ten.
Akazaa nae Ivan, Neema anafika hapo kwa ajili ya Fredy.
Neema kasota kwenye kuigiza mnoo kasota sana Fredy alimpambania sijui star tv..sijui kwa watu gani ili Sanaa imtoe.
Alivyoanzisha urafiki na kina Aunty kujulikana kidogo mjini akadai talaka na kuanza kudate viben ten.
Fredy mpaka sasa kagoma kutoa talaka anaamini mkewe ipo siku atarudi.
Kwa watu wanaomjua toka long huwa wanamsikitikia tu Fredy.