Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hamisa is dying for fortune n fame....same to Wema tu kasoro umri na utofauti wa nani alianza kushine ushenzini humu bongoo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] no publicity is bad!huoni sasa hivi anapiga helaa balaa!!!mambo ndo kama hvyo kibongobongo umaarufu una gharama sana
 
NAULIZA TU!!
Mana katika miji ya ajabu niliwahi fika ni Pemba!!
na hayo mapishi sijawahiga kuona huko kwao!!

Sehemu naumwaga nikiambiwa naenda ni Pemba.
Ila ndo kazi utafanyaje!!
IT IS A DULL PLACE EVER!!
airport madimbwi tuuu!!
woooooih!!
sijajua wanaoenda kwa maboti sijui meli.
woooooih ATI WANAWAKE WA PEMBA!!
kiiiiiiipi babu weee atupishe!!
Sio wa kibarazani wala uani!!
Hawafai kwa mavumba Wala ubani.
Kwanza wa huko PEMBA mbali,wapi Ilala hapo!!
Asituondolee focus ya gauni la Sophia the First!!
Atuache kabisa!!
Nani alikuambia Pemba kuzuri?
Ama uzuri wake kunywa maji taka?
Hebu usinchefue kaa huyo mvulana anayewasifia.......
 
NN unafkr ni nguo?
Wala.

Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama



VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] no publicity is bad!huoni sasa hivi anapiga helaa balaa!!!mambo ndo kama hvyo kibongobongo umaarufu una gharama sana
Haaahaaa rayna banaa....who makes cash now zaidi ya ufa fa faa? Ukimpenda mtu uweke akiba!

Kile kidemu kisipojirekebisha kupenda mambo makubwa na uwezo hakina kitaishia pabaya! Bora hata Wema ana experience na huo usupastaa uchwara kaamua ajiuzie mavitu vitu flani ili asurvive mjini!

Ile kile kimama majoka sijui, yangu macho[emoji15] [emoji15]


.
 
Back
Top Bottom