Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

SA we kweli gauni liwe na mshono wa vyote hivyo Kuna usalama kweli hapo?
Ila jaman turudi kwenye point ya msingi,

Kulikuwa kuna mantiki yyte ile ya kumtongoza Misa kwenye hii ishu?

Mi nafikir Zama alichemka. Alitakiwa a deal na waliosema kwann awachangishe hela af ajinasibu kuwa katoa zake peke yake. Using misa as a scapegoat ni kitu kisichokubalika

Sina u team but am trying to be fair
 
Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?

Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.

Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest
Hata Uwe na elimu ya saikolojia kumbadirisha mwanamke mbumbumbu eti kisa umempenda haiwezekani ila anaweza kubadirika mwenyewe kama amekupenda.
 
NN unafkr ni nguo?
Wala.

Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama



VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
Dada mmbe wewe jamani... Umenishindaaaa
 
Back
Top Bottom