Aisee!!Misa ananikera sana kujifanya victim kila mara... Akajambe mbele huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!Misa ananikera sana kujifanya victim kila mara... Akajambe mbele huko
SA we kweli gauni liwe na mshono wa vyote hivyo Kuna usalama kweli hapo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaaaaan......haaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kaah!amejuta kuijua insta umaarufu zigoo La nya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani gauni limeleta tafranii mjiniSA we kweli gauni liwe na mshono wa vyote hivyo Kuna usalama kweli hapo?
Gauni au mgunia asee[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gauni 8mils
Haaahaaa ...kujikuta 30 huitaki haahaaKabisaa
Ana 24Mtoto bwanaa kani kafika 25 wema?
Haaahaaa.....mupe usimuruke...Nani alikuambia Pemba kuzuri?
Ama uzuri wake kunywa maji taka?
Hebu usinchefue kaa huyo mvulana anayewasifia.......
Sijaelewa yaaan....hill libangaloo or?Hahaaaahaaa!jamanii
Sasa watu maneno wametoa qapi mkwe? Hamisa lazima alilalamika kweliHamisa kosa lake nini jamani msimuonee binti wa watu!nampenda wema nampenda hamisa!!
Nna hakika aliyevujisha habari sio missa ni mtu tofauti!kabisaa!!ila kwa kua yy ndo mwenye kampuni msala umemdondokea
Ngoja nikamuonyeshe boss wako hii comen[emoji38][emoji38]Mjini raha boss wangu kanikera leo ila insta wamenifurahisha na kuanikana yao
Hamisa punguza kimbelembele haya umeshaaibika
Murundi nacheka kikurunzinza mbwa! Mbwa mbwa!Kigoma kabila moja na mondi
MnooooIla zama ana sifa!!! Loh
Ila jaman turudi kwenye point ya msingi,SA we kweli gauni liwe na mshono wa vyote hivyo Kuna usalama kweli hapo?
Hata Uwe na elimu ya saikolojia kumbadirisha mwanamke mbumbumbu eti kisa umempenda haiwezekani ila anaweza kubadirika mwenyewe kama amekupenda.Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?
Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.
Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest
Sanaa.Alaaa, kumbe!!
Alongside sex, drama also sells.
Watu tunapenda mno drama aisee.
Dada mmbe wewe jamani... UmenishindaaaaNN unafkr ni nguo?
Wala.
Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama
VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.