Haahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa kwel kiki zimezidi sasa, mchawi bando tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kaah!amejuta kuijua insta umaarufu zigoo La nyaKabisa...
Yaani Jana sijui kama kapata usingizi! Kapewa makavu na insta yotee asee!
Kinaboaga watu sema kilikua hakishutukagi tuu!
Uyo chizi mjaa laana, uso umemparama kaa jua la kiama, hana haya wala hajui vibaya. Mshenzi yy na hao anao wasifia. Mxyuuuuuuuu zake.....Hii hii Pemba au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gauni 8milsSio catering ana macatering na maduka ya nguo kibao hapa mjini ( according to her)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KabisaaAna 22....tena anaifikisha 12/8/19
[emoji23] [emoji23] [emoji23] no publicity is bad!huoni sasa hivi anapiga helaa balaa!!!mambo ndo kama hvyo kibongobongo umaarufu una gharama sanaHamisa is dying for fortune n fame....same to Wema tu kasoro umri na utofauti wa nani alianza kushine ushenzini humu bongoo!
Atasoma rangi zoteeeeeAnatafuta kiki bebe....bila kiki mjini pagumu shoo...muache ajifanye anajua wenzie wananchora tu ipo siku yake
Nani alikuambia Pemba kuzuri?NAULIZA TU!!
Mana katika miji ya ajabu niliwahi fika ni Pemba!!
na hayo mapishi sijawahiga kuona huko kwao!!
Sehemu naumwaga nikiambiwa naenda ni Pemba.
Ila ndo kazi utafanyaje!!
IT IS A DULL PLACE EVER!!
airport madimbwi tuuu!!
woooooih!!
sijajua wanaoenda kwa maboti sijui meli.
woooooih ATI WANAWAKE WA PEMBA!!
kiiiiiiipi babu weee atupishe!!
Sio wa kibarazani wala uani!!
Hawafai kwa mavumba Wala ubani.
Kwanza wa huko PEMBA mbali,wapi Ilala hapo!!
Asituondolee focus ya gauni la Sophia the First!!
Atuache kabisa!!
Hahaaaahaaa!jamaniiWalioenda wanasema hawajulikani hata walikotokea.
Nimefika mae.Nani alikuambia Pemba kuzuri?
Ama uzuri wake kunywa maji taka?
Hebu usinchefue kaa huyo mvulana anayewasifia.......
Ndo yeye bibiKumbe ndo Fontana?
Kigoma kabila moja na mondiHivi zama ni wa kashozi eeeh?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NN unafkr ni nguo?
Wala.
Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama
VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
Haaahaaa rayna banaa....who makes cash now zaidi ya ufa fa faa? Ukimpenda mtu uweke akiba![emoji23] [emoji23] [emoji23] no publicity is bad!huoni sasa hivi anapiga helaa balaa!!!mambo ndo kama hvyo kibongobongo umaarufu una gharama sana
Mm nimekwenda huko na miradi ya maji safi, ndio sehem Tz inaongoza kwa kunywa maji taka. Ndio mana cholera kwao ni kama malaria kwa darNimefika mae.
SI watu SI mahali.
HAKUNA LOLOTE.
"Brand my brand unaniharibia my brand [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "Brand ndyo habari ya mjini kwa sasa!!