Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Ni bora kuacha kabisa kunyonyeshakama mtoto kazaliwa safe. Wazungu wenyewe wanatufanyia sisi utafiti hawana uhakika mama anaweza akawa na michubuko kwenye titi ikapelekea mtoto kuambukizwa
Halafu watu wanadhani sijui ukimwi mpaka upate mchubuko Wa kuweka plaster . kile kidudu ni kidogo hata microscope yakawaida haokani mpaka advanced microscope ambazo tz hazifiki hata 10 .. Hizi test kazi yake ni kucheki cd4 n special reaction ya vvu na hizo chemical kwenye kipimo. So mchubuko ambao wewe uhuhisi mdudu anakuingia tuu bila stress
 
Ndo maana nasema ni bora nusu shari kuliko shari kamili. Yani usifanye mtt akaupata kwa ajili yako wkt Mungu alimuepusha akiwa tumboni.
 
Sikumwelewa.
Ruge nadhanu haamini mpk kesho.
 
Kwa k ipi babu weee ya kuliliwa? Kwanza inawezekana Ruge alikua anajiliza ili wasiachane aendelee kuwa karibu na wanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…