Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Inawezekana si unajua wanakuaga kurudi nyuma eehKhaaaaaa!...Mara paaap Wema ana 24[emoji15] [emoji15] dunia itasimama! Ama ama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana si unajua wanakuaga kurudi nyuma eehKhaaaaaa!...Mara paaap Wema ana 24[emoji15] [emoji15] dunia itasimama! Ama ama
AiseeeManeno yametoka kwenye grupu la zama la wajasilia na mshona mgunia + Wema...only this!
Kwahiyo leo unajikumbusha enzi eeeh..
Yaaaaaani. Mwami aliaibika. Mjengo wa watu kuufanyia na dua jamani.Ule mjengo feki wa mwamy ulikuwa balaa blaa
Mie siweziiiiiWe ile mikono ,we kuweeeeza?
.we kuweza,nakuuliza!
Halafu watu wanadhani sijui ukimwi mpaka upate mchubuko Wa kuweka plaster . kile kidudu ni kidogo hata microscope yakawaida haokani mpaka advanced microscope ambazo tz hazifiki hata 10 .. Hizi test kazi yake ni kucheki cd4 n special reaction ya vvu na hizo chemical kwenye kipimo. So mchubuko ambao wewe uhuhisi mdudu anakuingia tuu bila stressNi bora kuacha kabisa kunyonyeshakama mtoto kazaliwa safe. Wazungu wenyewe wanatufanyia sisi utafiti hawana uhakika mama anaweza akawa na michubuko kwenye titi ikapelekea mtoto kuambukizwa
Haji nae toka Muro apewe udc anatapata sanaNaona huko insta kuna mashindano ya brand...now hadi haji manara ana management ya kusimamia brand yake
Ya Madam Perfect inasemekana alijengewa na boss Ruge.Mbona insjulikana sio yake??
Tupe mda data utazipata
Zama aliniudhi sana aliporusha ile clip ya ruge kwa mange. It's like alikuwa anatidoboleshea kuwa she is that hot to make a man cry.......but the bad side of it she fooled herself. Karma is a bitch. Alipanga kumdhalilisha ruge Leo anadhalilika yeye tena mchana kweupe. NoIlikuwa lazima amdragg in ili linoge
Hahahaaahahaa..Ila sura zinazeeka ndo chakushangaza
Nyumba ni ya watt. Yy pale ni kwa hisan ya juhjuh.......Ya Madam Perfect inasemekana alijengewa na boss Ruge.
Ndo maana nasema ni bora nusu shari kuliko shari kamili. Yani usifanye mtt akaupata kwa ajili yako wkt Mungu alimuepusha akiwa tumboni.Halafu watu wanadhani sijui ukimwi mpaka upate mchubuko Wa kuweka plaster . kile kidudu ni kidogo hata microscope yakawaida haokani mpaka advanced microscope ambazo tz hazifiki hata 10 .. Hizi test kazi yake ni kucheki cd4 n special reaction ya vvu na hizo chemical kwenye kipimo. So mchubuko ambao wewe uhuhisi mdudu anakuingia tuu bila stress
Ukizaa tuu nyonyo lazima livimbe haina shobo hiyoKatika huu mjadala nimejifunza hapa ,ina maana wadada wasio nyonyesha inawezekana wakawa waathirika?
Mie nilikua najua ni usista du tu ,hawataki kuharibu nyonyo zao
Sikumwelewa.Zama aliniudhi sana aliporusha ile clip ya ruge kwa mange. It's like alikuwa anatidoboleshea kuwa she is that hot to make a man cry.......but the bad side of it she fooled herself. Karma is a bitch. Alipanga kumdhalilisha ruge Leo anadhalilika yeye tena mchana kweupe. No
Kwa k ipi babu weee ya kuliliwa? Kwanza inawezekana Ruge alikua anajiliza ili wasiachane aendelee kuwa karibu na wanae.Zama aliniudhi sana aliporusha ile clip ya ruge kwa mange. It's like alikuwa anatidoboleshea kuwa she is that hot to make a man cry.......but the bad side of it she fooled herself. Karma is a bitch. Alipanga kumdhalilisha ruge Leo anadhalilika yeye tena mchana kweupe. No
Hujakosea...ndo maana mi na ushost nao yalinishinda!Yaan wanawake wakishakutana zaidi ya watatu wahesabie siku tu!! Lazima utokee mtifuano
Nyumba ni ya watt. Yy pale ni kwa hisan ya juhjuh.......
NdioAnatakiwa kujibadirisha, si ndio?