Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Mtu mwenyewe pamoja na kujidai kazaa na hao wanaume lkn bado maisha yake ya kawaida tu. Siku akifika level za kina zari na Jackline Mengi sijui itakuwaje.
Hamisa mshamba kwani kuzaa na mtu ndo nini aache ulimbukeni atumie umaarufu aliopata kujijenga ki maisha akisema ashindane na Zari ataumia
 
Ila noma kweli[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Nimecheka kwa nguvu nahisi nimeamsha majirani,
Ngoja nikaangalie tena youtube nicheke zaidi.
Hahahaha Snow umeua aiseee hebu waonee huruma wenzio khaa.
 
Mtu kuclip mjengo haujaisha na sio wa kwake unaona kama haiwezekani eeh?

Kwani kafanya mangapi yulee au wasanii wa kibongo wanafanya mangapi?

Na ule mjengo wa Wema milioni 400 uliamini eeeh?

Polee
Ile ya Wema ndio ilikua kali ya mwaka, kiukweli mimi nilikua mmoja wao kuamini, mwanamke uso mkavu mbele ya kamera kusema nyumba yake na hati juu looh angeweza hata kumdhulumu nyumba yule mama jamani.

Siku ilipokuja kubumbuluka nikajiapiza kamwe sitawaamini wasanii wa bongo.. nahisi ndio mapenzi yangu na Wema yalipoishia pale akaja na ile mimba feki looh ptuu.
 
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wema sina hamu nae looh!Mimi bado nampenda na ujinga wake huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…