Achana nao Mange yuko vichwani mwao
Amesahaulika ndio Kanumba, sembuse yeye hahhahaha hatari sana.Hahahaha ka attention seeker kanadhan kakifa nchi itashindwa endelea kwa ajili yake
Maybe lakini sidhani kama ni Mange naona watu wameamua kucopy style yake
mhh nyie wadada wa Dar mna data za watu hatariiNi ngumu kucopy style yake kila muda,mange kuna kipindi aliazima account ya doggie kuchambia adui zake ila kwa sasa kageuza moja ya account zake za kuuza yale maronyaronya kuwa za kuchambia watu
Ahsante kwa namba hizi nitaanza kula mmoja baada ya mwingine hapo.....View attachment 836026Mjini patamu,zama kwa mahasira kaondoa wote kwenye grup aliloanzisha na kuchangiwa pesa na idea za biashara kwa ahadi ya kumpa mshindi million moja
Itakua ulimtoa humuhumuuNa ameridhika uwe mlevi wa JF? Mi niliambiwa nikikutwa jf penzi linakufa, likafa.
Kichwapanzioriginal aliumbuka vibaya rachel jamaniKuna mtu aliyedhan ile fekero maarufu kwa kutukana nimeishau jina itakua ya tachel temu!!?
haya mwambie shemeji aniletee alifunge kwenye dirisha langu il aje amevaa kiminiEeeeh ndyo blaza mjombaako
Kunikazia sana awamu hii Niko
Niko kwenye mapazia (curtain's)
Muandiko wake ni kama wa dada mmoja alikua waziri wa mange kwenye blogu yake anaitwa KOKU.Sio mange yule nyie hata kidogo!!original east mi nakataaa!!!
Wamekatazwa nowwananyonyesha siku hizi kama wanatumia dawa vzr kwa muda wa miezi 6
Hajawahi kuliliwa na mwanaume kwahiyo pale aliona miujiza!Ile clip hata mimi ilinikera... Kubembelezwa kwnye mapenzi ni kawaida tu. Alifikiri yeye ndio wa kwanza kuliliwa na mwanaume?
Hivi watu wote tungekuwa tuna expose maongezi yetu ya faragha na wapenzi wetu (hata kama tumeachana), hii dunia ingekalika kweli? Pale haku act kiutu uzima.
Ndio maana hadi leo anatumia nguvu nyingi kuonyesha ana uwezo mkubwa wa kifedha ili kuonyesha hajawa affected kuachana na Ruge. Hakuna sababu ya kumdhalilisha/ kuweka biff na mzazi mwenzio. Hata watoto wakikua hawatapenda
Mange huyo sio?
Kichwapanzioriginal aliumbuka vibaya rachel jamani
Mange huyo sio?
Hivi the originalist ni yeye?
Ni kichwapanzi akaingia insta live ndiyo kuumbuka na kufuta account mpaka leo.Sio kichwapanzi yule nimekumbuka ni semausikike
Hivi the originalist ni yeye?