Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hakuna sehemu wanayoshauri hivyo
Mtoto ananyonyeshwa hadi miezi Sita bila kulishwa chochote.
kwa zamani wakati madawa ya kuongeza siku hayawa introduced walishauriwa kutonyenyesha kabisaa. Ila siku hizi ni miezi sita
 
Ile clip hata mimi ilinikera... Kubembelezwa kwnye mapenzi ni kawaida tu. Alifikiri yeye ndio wa kwanza kuliliwa na mwanaume?
Hivi watu wote tungekuwa tuna expose maongezi yetu ya faragha na wapenzi wetu (hata kama tumeachana), hii dunia ingekalika kweli? Pale haku act kiutu uzima.
Ndio maana hadi leo anatumia nguvu nyingi kuonyesha ana uwezo mkubwa wa kifedha ili kuonyesha hajawa affected kuachana na Ruge. Hakuna sababu ya kumdhalilisha/ kuweka biff na mzazi mwenzio. Hata watoto wakikua hawatapenda
Hajawahi kuliliwa na mwanaume kwahiyo pale aliona miujiza!
 
Back
Top Bottom