Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Wema ni victim wa circumstances nyingi sana. To me ule upole wake na kupenda mno kuwafurahisha watu Kila mtu kwake yy anamkaribisha Adi chumban under the name of friendship afu mwisho wa siku anakuwa rafiki nyoka.

She isn't wise in choosing friends and knowing who to trust. I wish siku nimpe akili mbovu kama yangu.

Huwez ukawa rafiki wa Kila mtu duniani no way. Halaf kwao unakuwa real unajiachia kana kwamba ni ndg zako. Waswahili kusema "mtakatifu nyingi nasaba kupata mingi misiba"
Haaahaaa..
Nimefurahia hicho kipengele cha huo upole wa Wema[emoji15] [emoji15]

Hivi Wema mpole?
 
Sio bongo movie , kawaalika watu maarufu tu. Alifungua magroup ya ujasiriamali matano hao ndio wamechanga hakuna hata mwakilishi yeye kawaalika maslay Queen wenzake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana jamani walialikwa japo wachache kama sikosei watu watatu!hayo magrupu mbona hayana ubaya watu wanafanya maendeleo mule!kwa hilo namtetea jamani japo walimpa zawadi lakini hakuwatangaza pale
 
Wanaume wengine ni wajinga sana pumbavu zao.

Mkeo anashikaje simu na kuandika ujinga kama huo na wewe upo?

Na usiku mnalala?

Watu tukistaarabika tukikwazwa tunatafuta njia ya kistaarabu zaidi na kuitumia, siyo kuandika usenge all over.

Binafsi mtu wangu akiweka status whatsapp isiyoeleweka namwambia atoe na hilo siyo la kujadiliwa, ni itolewe. FB siwezi kumcontrol kwakua sipo FB.

Mmoja alipoteza simu nikajichanga nikamnunulia simu, dakika kadhaa naona status 'Am baaaaaaack' nikamwambia toa hiyo status.

Akatoa vizuri tu.

Sasa hawa wengine vipi? Au wanalelewa?
Sasa kama mwanaume missiontown unahisi ana lakusema hapo?
 
Back
Top Bottom