Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Cajojo utaachika kapike huko witnessj liid lake nalijua sana na huwezi hata kujua ana mambo ya kimama naona anafikiri jf ni pakuokota wadada na kuwafunua akishindwa anaanza ligi,naangenionja hata mdomo ningekoma humu ndani ila HALIJANILA na HALITONILA picha apigie punyeto
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.

Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
Shostito 🙌🙌🙌
 
Mana kitambaa kizito duvet kile unakijaza chini vile no wonder haikukaa mabegani!!
Mana chini kuzito!!
Mabega haikufit!!
Basi ikawa tu tafran
Mara huku sendo za Shabani
Mara huku zile green house.
Hujakaa vizur pinki pinki ile imechambuliwa chambuliwa ya yule Nani sijui
Mara kule miguu ya Mama Teri.
Kule vipepeo vya wanakamati
Mara kapita mama dogo na wowowo mstatili lake ,nakwambia kilikuwa na matukiooooooooooo.
Mwali ile shughuli kwamtazamo wangu aliyependeza zaidi alikuwa Mrs janjaro na sepenga. Ukweli walimfunika mama shughuli. Nilitaman kuwafukuza manake khaaaaaa sio kwa funiko hilo
 
Wonder namba moja mpaka 6 yameshafutwa,wonder namba saba wameshapigwa biti kuongelea tuhuma za boss zama
38644287_1014489098729061_6007816956772614144_n.jpg
 
Back
Top Bottom