AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,142
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kikongwe mwenzetu!Hapana bwana[emoji3][emoji16][emoji23]yaani hamisa umri wake sahihi ni 25 am telling uu!!hana ukubwa wowote yule Mimi naenda field tandika yuko form two back then!Amini maneno yangu
Si mzee25 ni mzee???
Please.
Shostito 🙌🙌🙌Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.
Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
Kwaivo shishi baby alitaka azalishwe yy?Hawapatani kisa diamond kuzaa na hamisa !!!yaani tena anaonesha waziwazi shilole
Mwali ile shughuli kwamtazamo wangu aliyependeza zaidi alikuwa Mrs janjaro na sepenga. Ukweli walimfunika mama shughuli. Nilitaman kuwafukuza manake khaaaaaa sio kwa funiko hiloMana kitambaa kizito duvet kile unakijaza chini vile no wonder haikukaa mabegani!!
Mana chini kuzito!!
Mabega haikufit!!
Basi ikawa tu tafran
Mara huku sendo za Shabani
Mara huku zile green house.
Hujakaa vizur pinki pinki ile imechambuliwa chambuliwa ya yule Nani sijui
Mara kule miguu ya Mama Teri.
Kule vipepeo vya wanakamati
Mara kapita mama dogo na wowowo mstatili lake ,nakwambia kilikuwa na matukiooooooooooo.
Shkamoo show off...Mjini patamu,mama wenye nyumba wachache sana. Ila mama wapangaji sherehe million 20 wengi sana
Hujanifikia mwaliKama Leo,ah Off yangu mmeitendea haki sana
Kwani we umetembea nae mkuu mpaka uamini hizo story?Vipi umewahi kutembea nae nini,mbona unamtetea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mamdogo Jojo nae alijitahidi kupendeza.Mwali ile shughuli kwamtazamo wangu aliyependeza zaidi alikuwa Mrs janjaro na sepenga. Ukweli walimfunika mama shughuli. Nilitaman kuwafukuza manake khaaaaaa sio kwa funiko hilo
Weee nimemruka makusudi, naogopa lendikruza nyeusiMamdogo Jojo nae alijitahidi kupendeza.
HahahahahaaaaWeee nimemruka makusudi, naogopa lendikruza nyeusi
Naomba uje home unipe samari puliiizii[emoji120][emoji120]Wonder namba moja mpaka 6 yameshafutwa,wonder namba saba wameshapigwa biti kuongelea tuhuma za boss zamaView attachment 837936
Naomba uje home unipe samari puliiizii[emoji120][emoji120]
Makubwa hayaaaaWonder namba moja mpaka 6 yameshafutwa,wonder namba saba wameshapigwa biti kuongelea tuhuma za boss zamaView attachment 837936
Yaan Zama ana Hali mbaya....Wonder namba moja mpaka 6 yameshafutwa,wonder namba saba wameshapigwa biti kuongelea tuhuma za boss zamaView attachment 837936
Num hivi ile uzi wa kule jukwaa mchanganyiko kuhusu Zama.kutapeli umefutwa?Wonder namba moja mpaka 6 yameshafutwa,wonder namba saba wameshapigwa biti kuongelea tuhuma za boss zamaView attachment 837936