Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kwel mkuu amezeeka kabaki sauti tuu atazeeka vibaya sana siokwa kujichubua kule
 
Ile party ilikua nyokoo, mama fekero akaiga na yeye ikabuma ahahaaah, dah kweli mama ubaya ajipange, hivi sasa hiv kanunua nyumba wapi? maana mwenzetu kila mahali ana nyumba ahahahaah
Atawadanganya hao hao....hana nyumba wala ushuzi,kapanga huko ununio.Asubiri **** imshuke kama sikio la tembo ndo atajua kumbe **** inazeeka.
 
Ile party ilikua nyokoo, mama fekero akaiga na yeye ikabuma ahahaaah, dah kweli mama ubaya ajipange, hivi sasa hiv kanunua nyumba wapi? maana mwenzetu kila mahali ana nyumba ahahahaah
Akaandaa black party utadhani wafiwa na zile nguo nyeusi
 
Ila mama Wema ana matusi jamani khaaa!!

Hivi ni mzaliwa wa wapi huyu mama?

Teh teh teh...halafu mwenyewe eti analalamika kuchorwa mwili wake akiwa na mabaka.

Hapo kwenye video hadi akazunguruka kabisa kulionyesha umbo lake.

Anakwambia hapaki mkorogo na wala hajui kukorogwa teh teh teh.

Huyu mama huyu....

Halafu mwishoni kamalizia na 'thubutu kumamayo mtabakia kuchukuliana wanaume'.

 
Ha ha ha huyo mama nae ni jipu aisee.
 
Ha ha ha ha ha mama wa kinyaturu from singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…