Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

sasa kama team wema walianza si apambane na hao team wema?mara ngapi team zari wanamnanga wema ;lakini sijawahi ona wema anawajibu kwa kurusha vijembe kwa zari?
Asante Madame Victoire ,nilitaka kuhoji hivyohivyo.
Iweje achokozwe na team kisha amshambulie Wema?
Kama sio stress na uswahili uliomjaa ni nini?
 
Hivi bwana ninae mimi,naanzaje sasa kurusha vijembe kwa X?Zari hajiamini kwanza yule mtoto angekuwa wa diamond biologically zari angeshaweka majibu ya DNA ili kuwaziba midomo wavimba macho
 
Zari lazma kuchokozwa, afu bora weupe wake unaeleweka sio wa sweet heart ngozi kama batiki mxyuuuu
Sawa kachokozwa,kwanini amshambulie Wema kama yuko happy sana na huyo anayejidai yuko happy?
 
Hahahahaa nacheka kama mazuri,kanikera sana leo.
Halafu huyu ndio watu wanamsifia kuwa anajielewa!
Angekuwa anajielewa asingeolewa na huyo diamond alafu wakaenda kuishi porini huko na tumbili
 
Hivi bwana ninae mimi,naanzaje sasa kurusha vijembe kwa X?Zari hajiamini kwanza yule mtoto angekuwa wa diamond biologically zari angeshaweka majibu ya DNA ili kuwaziba midomo wavimba macho
Kwahiyo kijana anaishi kwa maneno yake.... ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani... sio?

Ama kweli kitanda hakizai kharam...
 
Hivi bwana ninae mimi,naanzaje sasa kurusha vijembe kwa X?Zari hajiamini kwanza yule mtoto angekuwa wa diamond biologically zari angeshaweka majibu ya DNA ili kuwaziba midomo wavimba macho
Ndo tabia za wanawake hizo
Aunt kamchukua iyobo vijembe kwa mwengi
Shamsa alimchukua nay wa mitego vijembe kwa siwema
N.k
 
Angekuwa anajielewa asingeolewa na huyo diamond alafu wakaenda kuishi porini huko na tumbili
Hahahahaaa uwiiiiiii!
Umenivunja mbavu best yangu kipenzi.
 
Hua anatoa madongo Sana ,simpendi wema lakin Zari kazidi akwendree kwanza wema mtanzania mwenzetu
Teynaaaaa,huyu bibi kizee nae leo kalikoroga.
Asiyekaa alee watoto wake wanne anahangaika na Wema.
 
Kwahiyo kijana anaishi kwa maneno yake.... ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani... sio?

Ama kweli kitanda hakizai kharam...
kwa wale walivyo wangeshaweka majibu ya DNA,ila ndo hivyo tena hakuna mtoto alie haramu hata kama siyo wake biologically
 
Hahahahaaaa jamani nitarudi baadae maana naona kinataka kunuka hapa.
Mie simooo!!!!!!
 
Back
Top Bottom