Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ni muendelezo wa vita ya maneno isiyoisha kati ya anayejiita Zari The Bosslady na wa kuitwa Tanzanians sweetheart Wema Sepetu.
Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie Wema,wapambe wa Wema wakacharuka na kumuita boss wao Wema ambaye alitaharuki na kuuliza kipi kinachoendelea?
Ndipo mpambe wake anayejiita wemareplies alipomuwekea screen shot ya aliyoyasema Zari.
Wema nae akajibu huku akisisitiza hana muda na Zari wala kaka (Diamond)

Kama haitoshi akapost picha huku akiweka caption ya kuwa kafunzwa na mamie kugombana na watu wazima (Zari) ni kukosa adabu.

Ndipo Zari nae akamjibu kuwa yuko busy na kazi,asijisumbue.

Nimeatach na screen shots za matukio yote.....

Hivi we mamito hauna kazi ya kufanya? Jiulize kidogo, Wema na Zari wanatuhusu nini watanzania?
 
Ila nifah kila kitu unamsifia wema..nachojua wema ni mswahili buwa anatumia mgongo wa team zake kutukana na hajawahi kana kuwa hahusiki

Na research inaonesha hao mateam wema wanalipwa mshahara..so tupunguze ushabiki maandazi
 
Kugombana na kurushiana vijembe hakuna uswahili, uzungu, uchina, uhindi, wala uarabu.

Sasa iweje mtu akirushiana vijembe na mtu aitwe au aonekane mswahili ilhali hata watu wa rangi zingine na wa mataifa mengine nao hurushiana vijembe?

Sasa kwa mfano wazungu wanaorushianaga vijembe na kupigana nao wana mambo ya 'kiswahili'?

Na hivi ni kwa nini 'uswahili' uhusishwe na mambo ya sifa mbaya?

Ni ujuha na ujinga tu kufanya hivyo.
 
Hawazi watoto hela za kuwasomesha zipo ana uhakika na maisha....muda huo wema anazungusha akili kuwaza atawapataje watoto
Hata kama huwazi.pesa ya kusomesha...mwanamke lazima uwaze progress yao...... mwanamke hawezi kuacha kuwawazia wanae
 
Kwa hilo fifty fifty tena bora kik za zari ni za kweli anachofanya ni show off sio mama wa fekelo fake house, fake cars, fake mimba fake harusi

issue na ex mlimbwende wetu kufake harusi, mimba tunamsingizia ile clip ya harusi ikuwa part ya movie chungu cha tatu cjui, yeye mwenyew hajawah sema nimeolewa ama nna mimba washabiki uchwara wake ndo hawajielewi kuwa yule ni mcheza sinema mambo yake akipoat maybe ni movie mpya wanakurupuka tu kumpingeza.

siku wakishangaa movie mpya idriss kacheza na Munana cjui watasemaje maana
 
Kugombana na kurushiana vijembe hakuna uswahili, uzungu, uchina, uhindi, wala uarabu.

Sasa iweje mtu akirushiana vijembe na mtu aitwe au aonekane mswahili ilhali hata watu wa rangi zingine na wa mataifa mengine nao hurushiana vijembe?

Sasa kwa mfano wazungu wanaorushianaga vijembe na kupigana nao wana mambo ya 'kiswahili'?

Na hivi ni kwa nini 'uswahili' uhusishwe na mambo ya sifa mbaya?

Ni ujuha na ujinga tu kufanya hivyo.
Hakuna uswahili kwa ma celeb kujibiana ni kitu cha kawaida...trending now..chekini insta beaf ya 50cent na meek mill ..ndio mtupe majibu kama nao no waswahili
 
Mi naweka ukweli tu na si uzushi.

Si umeona na kusikia mwenyewe hayo maneno ya 'wazungu' [Wema na mamake]?

Hebu ona hapo anavyorukaruka utadhani kapandwa na mashetani...teh teh teh.....na hicho kipara ng'oto...hmmmm

Acha unafiki mkuu sijaona sehem pameandikwa wema Mzungu Acha kujitekenya hapo anaongelewa Zari kua Mswahili.Zari kua Mswahili haimaanishi Wema kawa Mzungu.
Jifunze kusoma na kuelewa Acha kukurupuka.
 
Nyani ngabu big up..umewanyoshe clip zako zinatosha kuona nani ni mswahili au classic

Hata malezi ya kifamilia

Binafsi naamini tabia mbaya ya mtu au mienendo mibaya ya mtu haina uhusiano na kabila, rangi, lugha, dini, au eneo atokealo mtu.

Hivyo siamini katika mambo ya 'kiswahili'.

Kwa sababu, ni kitu au jambo gani ambalo 'Waswahili' tu hufanya ambalo watu wengine wa rangi zingine na mataifa mengine hawafanyi?
 
Acha unafiki mkuu sijaona sehem pameandikwa wema Mzungu Acha kujitekenya hapo anaongelewa Zari kua Mswahili.Zari kua Mswahili haimaanishi Wema kawa Mzungu.
Jifunze kusoma na kuelewa Acha kukurupuka.

Uswahili wa Zari uko wapi sasa?

Watu wanarushiana vijembe. Jambo ambalo ni la kawaida kabisa katika maisha ya wanadamu.

Sasa kwa nini mtu kurusha vijembe ndo aonekane 'mswahili'?
 
Wote Zari na Wema ni wapuuzi hapo hakuna aliyesawa

Utofauti tu, Zari anahasira za karibu maana Mara kadhaa nakutana na replies zake kwa baadhi ya wanaomdiss.. Kummaind mtu ni kitu cha kawaida, ila mpaka unafikia hatua ya kujibizana, ni tatizo..

Wema sepetu huyu ni anaroho mbaaaya sana, ROHO MBAAAAAAYA, kila upuuzi anaofanya upon nje labda uwe na upofu wa mahaba ndio huwezi kuona..

Suala la uswahili acheni upuuzi wenu, watanzania wore ni waswahili, eti 'UZUNGU', sheeenzi uzungu ndio nin??? Vimbwanga wanavyofanya wenzetu huko, wasanii wetu wangekuwa wanafanya kila mtu angekuwa anamiliki kampuni yake ya magazeti ya udaku maana story zingekuwa nyingi sana afu tunawapamba..
 
Kwa hilo fifty fifty tena bora kik za zari ni za kweli anachofanya ni show off sio mama wa fekelo fake house, fake cars, fake mimba fake harusi
Hakuna cha bora wala nini wote fake ... Wema ufake wake unaonekana sababu tuponae bongo...... Zari ni fake zaidi ya mmjuavyo fake offices, fake cars, fake bosslady....mpaka mwili wote ni fake so hakuna bora wala nini...... Bosslady hawi na mda wa kujibizana na vitoto vya olevo insta kwenye principals za ubosslady zari hana hata moja alijitahidi kujaribu enzi za ivan ila anajipa tittle ambayo hana in real life
 
Back
Top Bottom