Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hivi umri wake kuwa hausogei?ahahahah uwiii ngozi kama nini? halafu hapo yupo twenties, akifikika 30 ngozi itakua kama ya nguruwe mbwa huyo, kazi ku fake maisha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umri wake kuwa hausogei?ahahahah uwiii ngozi kama nini? halafu hapo yupo twenties, akifikika 30 ngozi itakua kama ya nguruwe mbwa huyo, kazi ku fake maisha tu
sasa kwa huo umbali c wote wako area moja?Kilomita 4
Mimba my foot..... Ha ha ha haHivi mtu mzima anazaa? huyo wema mtoto mdogo ila kashaenda menopause *****, zari mpaka kesho akitaka kuzaa anazaa,mwambien huyo bibi bomba wenu ashike mimba kama anaweza, kazi ku fake tu kila kitu *****
Nyani Ngabu anayo mi Sina, eti nyumba ya m400 Thubutuuuuuuuahahahah dah ila wema kiboko, kwa ku FAKE tu nampa nambari one, abadilike bwana aache ulimbukeni, hivi binamu una ile clip ya wema akitangaza kanunua nyumba ya mil 400,? yan ndo naicheki hapa nimecheka mpaka nimejamba jaman, huy wema kazid aisssh kahaa
ahahaha nilimaanisha alidanganya kaolewa kumbe ilikua movie, nimekosea kiswahili , najutraa kwa nn wazazi wangu walinipeleka international schools toka nipo mdogo, ndio madhara yake hayaKujioa mwenyewe?
Hapana aisee, huo si uswahili.
Huo ni umajununi.
Kumbuka kuwa al junun funun al khalfan waheed!
Kwa umbali wa kilometa 4 kwakweli hawawez kuwa area moja"[emoji1]" Wema alikiri ni mgumba nikumuombea tu sio kua ni jambo zuri. Sema aache kushindana na watu wenye Uzao maana kuwa na mtoto ni furaha isiyoelezeka and she misThat. Thats Y shz going crazy everydaysasa kwa huo umbali c wote wako area moja?
afanye azae tu maana akishindwa mwenzie zari siku atamtambia uzao wake akakosa la kujibu akaishia kunywa sumu
Akapange tu vyumba vya buku tano kwa mwezi. Aache kujionesha ana hela kumbe si lolote si chochote. Ustar una mambo mengi sana aisee.ahahaah ahaha jaman wewe leo nacheka mpaka najamba, uwiiii siku hiz sijui anakaa wapi, super sta yule kila siku anabadilisha tu nyumba za kupanga, hiv umeicheki ile clip anayojitangaza kanunua nyumba? jaman nairudia hapa nacheka kama chizi, huyu wema atakua mgonjwa hakyamungu sio mzima
tena bora zari anawatoto 4 lakini akisimama na wema wataonekana wote wapo sawa ki umri. je wema angekuwa na watoto hata 2 angekuwaje?wema kipindi anagombea umiss alisema she is 18 kazaliwa 88!! bt ikavuja alidanganya
basi now atakuwa 29,30 au kashavuka 30!
and zari kasema her real age ni 34.. kuna umbali gani hapo?
Mbwembwe kibao ita waandishi wapi makamera zamaradi anazungushwa vyumbani hadi chooni kumbe nyumba so yake Wemaa wemaaa qumanyokoooo in remmy's voiceahahahajajhajaajj dah huyo wema balaa, yani uwongo wake wooooote ila watu bado wanaendelea kumwamin? mimi big no kwa kweli, awadanganye hao misukule wenzie
Tunasongeza masaa yaende kwa masinema ya insta hahahahaHahahahaaa wewe nae kama sio mbea kilichokufanya usome hii post ni nini?
muombee wewe!!Kwa umbali wa kilometa 4 kwakweli hawawez kuwa area moja"[emoji1]" Wema alikiri ni mgumba nikumuombea tu sio kua ni jambo zuri. Sema aache kushindana na watu wenye Uzao maana kuwa na mtoto ni furaha isiyoelezeka and she misThat. Thats Y shz going crazy everyday
Mwanamke mwenzako yule lakinimuombee wewe!!
kaua vichanga kibao na damu zao zinalilia haki udongoni.kama kweli hana kizazi hayo ndo malipo yake. ajipange.
Fanya ushabiki wote my dear ila kizazi usikifanyie dhihaka.... Mungu huyu anaweza kukupa kizazi na pigo juu....Sasa wema atazaaje wakati kizazi hana? mwenzenu anatamani sana kulea ndio maana kila siku analea mbwa, zari anamuumiza sana wema kwa mengi, mwenzie anazaa wee yeye hata mmoja hana kazi kufuga mbwa, unadhani mama ubaya hapendi kuzaa? tatizo kizazi hana, mwanamke jina tu na papuchi ahahahhah ahahahhahaahahahah WEMA MGUMBAAAAAAAAAAAAA
Something is wrong somewhereSimtetei wema lakin kwaninj zari asijikalie ye si anaukali kila siku alaaaaaaa,wema nae ni mpuuzi lakin zarj amuache wema
Wema ndio binadamu pekee duniani ambaye umri wake kila mwaka unapungua wakati wengine wote ukiongezeka!! Anafaa aingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya Dunia.. Makofi kwake tafadhali.!!tena bora zari anawatoto 4 lakini akisimama na wema wataonekana wote wapo sawa ki umri. je wema angekuwa na watoto hata 2 angekuwaje?
Si alitoa tangazo mwenyewe jamani, gazeti reeeeefu kutuhabarisha habari za kushindwa kupata mtoto hajui kipi cha kuongea kipi cha kunyamaza mwanamke na akili timamu anatangaza "nimetoa mimba coz nilikua mdogo" akaona fahari mwenyewe, hata kama katoa hiyo ingebaki yake so ya kuongea huyo, mastaa wangapi hawana watoto kina jide sijawahi ona wakizungimza hayo kwenye social mediaFanya ushabiki wote my dear ila kizazi usikifanyie dhihaka.... Mungu huyu anaweza kukupa kizazi na pigo juu....
Naogopaga sana wanaotukana vizazi...heri kutukanana kuhusu michirizi
Ila mmempima kuthibitisha ugumba???
najua but ntaanzaje?Mwanamke mwenzako yule lakini
Ha ha ha ha ha ha haWema ndio binadamu pekee duniani ambaye umri wake kila mwaka unapungua wakati wengine wote ukiongezeka!! Anafaa aingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya Dunia.. Makofi kwake tafadhali.!!