Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Yani ungetumia muda huo kifuatilia maisha ya watu na ku invest on yourself am sure ungekuwa mbali. Listen to Les brown and get inspired. You are investing most of your time into other ppl's life. Shame on you
 
Na kilichokuleta kusoma humu hukuona ni majina ya watu yametajwa, umejitukana mwenyewe mdaku mkubwa wewe.

Maisha yanakukanyaga hata pa kupumulia hakuna unabakia kuvimba uso na kutoa matakataka tu sababu haujui hata kucheka.
 
Kwa kichwa cha habari tu inaonyesha kuwa Wema anasumbuliwa bado na Mapenzi ya Zari na Diamond na sasa mtoto wao Tiffah.

Duh
 
Marafiki na ndugu wakaribu wa huyu mdada msaidieni this is wayyyy beyond stalking. Kina Penny mbona wamemove on.Shida yake nini?
Mimi nadhani mshedede aliokuwa anapewa na Dangote a.k.a mzee wa madale bado hajaupata kwingine.
Ndiyo maana anajaribu kila sehemu kupata wa kufidia pengo lakini bado vibamia vinamsonga.
Kifupi analia wivu tu.
 
si Nilisikia huyo mdada mpya(mpangaji)wa Dimond hajui kiswahili vyema?mbona ameandika vizuri sana? nadhani hii post ya kiswahili kaandikiwa na mmiliki wakiwa chumbani
 
Ukiwa jamvi la wageni wewe ni maji maramoja....huyo bibie alijua chibu boya atambabaikia kutemwa 2 hali ikawa mbaya ***** zake n yeam vigodoro vyake
 
Ukiwa jamvi la wageni wewe ni maji maramoja....huyo bibie alijua chibu boya atambabaikia kutemwa 2 hali ikawa mbaya ***** zake n yeam vigodoro vyake
Dogo alistuka demu analetewa Zawad ya BMW kwenye birthday eti imetoka kwa Kadinda ha ha ha yaan huyu superstar wao maisha yake ni kitabu sijui hii team yake kwa nini wasijiite vicheche FC
 
Back
Top Bottom