Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Israel kwa kiasi kikubwa ni nchi yenye utawala wa kidemokrasia, kuna uhuru mkubwa wa watu kutoa maoni au kuelezea hisia zao tofauti kabisa na hali ilivyo kwa mataifa mengi hapa duniani, hususani kwa nchi za Afrika au nchi zenye sera za kijamaa/kikomunisti.Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa
Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa katili) ambaye hafai kuongoza nchi
Tutaendelea kuwajuza.....
View attachment 2857923
Propaganda za wafilisti na magaidi ya alla
Isreal wauaji wakubwa.Israel kwa kiasi kikubwa ni nchi yenye utawala wa kidemokrasia, kuna uhuru mkubwa wa watu kutoa maoni au kuelezea hisia zao tofauti kabisa na hali ilivyo kwa mataifa mengi hapa duniani, hususani kwa nchi za Afrika au nchi zenye sera za kijamaa/kikomunisti.
Israel Kuna Uhuru mkubwa, ndio maana unaona kwamba wananchi wanaruhusiwa kuandamana licha ya kwamba nchi hiyo ipo vitani kwa sasa. Je, sisi hapa Tz tunaweza kufanya hivyo wafanyavyo Waisrael licha ya kwamba hakuna vita inayoendelea kupiganwa na nchi yetu hii? Je, tunaweza????
Baba yako katupa mbegu zake bure kukuzaa kichaa wewePropaganda za wafilisti na magaidi ya alla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Propaganda za wafilisti na magaidi ya alla
Kumuua mtu muuaji siyo kosa Bali ni kitendo cha kishujaa cha kujihami dhidi ya adui hatari.Isreal wauaji wakubwa.
Siku nyingine kaa kimya ili kuficha upumbavu wako,Dunia ya leo ipo open sana kila kitu kipo wazi,au umeamua kujifariji tu wewe yahudi mweusi wa Mabwepande?Propaganda za wafilisti na magaidi ya alla
Nchi ya Israel kisiwa cha demokrasia katika eneo la mashariki ya kati inayotawaliwa kimabavu na marais madikteta na wafalme nusu Mungu.
Taifa la Israel lenye kutekeleza demokrasia kwa vitendo ni nchi inayojitambulisha kama "taifa la Kiyahudi na la kidemokrasia" na ndiyo nchi pekee duniani yenye idadi kubwa ya Wayahudi (tazama taifa la Kiyahudi).
Pia nchini Israel kuna Imani ya Kiyahudi na nyinginezo nchini humo ni pamoja na Uislamu (wengi wao ni Sunni), Ukristo (wengi wao wakiwa Melkite na WaOrthodoksi) na dini ya watu wa Druze .
Israel kuwa nchi ya kidemokrasia au siyo ya kidemokrasia sio ishu inayojadiliwa hapa, ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzuluIsrael kwa kiasi kikubwa ni nchi yenye utawala wa kidemokrasia, kuna uhuru mkubwa wa watu kutoa maoni au kuelezea hisia zao tofauti kabisa na hali ilivyo kwa mataifa mengi hapa duniani, hususani kwa nchi za Afrika au nchi zenye sera za kijamaa/kikomunisti.
Israel Kuna Uhuru mkubwa, ndio maana unaona kwamba wananchi wanaruhusiwa kuandamana licha ya kwamba nchi hiyo ipo vitani kwa sasa. Je, sisi hapa Tz tunaweza kufanya hivyo wafanyavyo Waisrael licha ya kwamba hakuna vita inayoendelea kupiganwa na nchi yetu hii? Je, tunaweza????
Israel haina hata katiba,Israel kuwa nchi ya kidemokrasia au siyo ya kidemokrasia sio ishu inayojadiliwa hapa, ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzulu
Hii atatokaMaandamano makubwa yalitokea wakati anataka badilisha sheria kuhusu Mahakama, ila hawakufanikiwa hata nukta
Netanyahu zidisha kipigo kwa hawa magaidi. Kuandamana ni haki ya mtu unafikiri ni hapa kwetu kuandamana ni kosa. Na netanyahu kasema hata robo ya dozi haijafikaMoto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa
Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa katili) ambaye hafai kuongoza nchi
Tutaendelea kuwajuza.....
View attachment 2857923
Netanyahu zidisha kipigo kwa hawa magaidi. Kuandamana ni haki ya mtu unafikiri ni hapa kwetu kuandamana ni kosa. Na netanyahu kasema hata robo ya dozi haijafika
M.kuu kanywaaa majiyabahariyule msahauu kuiiuzulu mpakaa amalizane na hamas yule n Joshua' wa israelMoto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa
Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa katili) ambaye hafai kuongoza nchi
Tutaendelea kuwajuza.....
View attachment 2857923
ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzulu