Kimenuka: Kamati ya maadili ya TFF yakutana kumjadili Makamu wa Rais Michael Wambura

kila tasisi anayo kuepo wambura lazima pawe na mgogoro na fitna,
 
Ni aibu sana kiongozi wa juu kama huyo kufikishwa mbele ya kamati ya maadili
 
Sijui kwanini toka mwaka 2007 sina hamu wala mzuka wa kufatilia Mpira wa bongo.

Ujanja,ujanja, Njaa sana-Mpira wa bongo.
 
Yamkini huenda ukawa msumari wa mwisho kwenye soka kwake
 
Kweli yawezekana ikawa mwisho wa wambura ktk soka la bongo,maana yeye alienda TFF ikiwaza kwenda kupiga dili.Kwisha habari.uwa simpendi huyu jamaa kwa tabia zake.alishaga tuaribia sana soko miaka iliyopita.
 
Mpira wa bongo kuja kukua its like ndoto za abunuasi...afu unaitaji wachezaji wawe patriots damn...!! Bora awe mzalendo kene club
 
Karibu shutuma zote za makosa ya kifedha zinazolikabili soka la Tanzania, zaidi ya asilimia 90 huwahusu viongozi wenye uhusiano wa moja kwa moja na timu ya SIMBA S.C.
Mfano. Rage, aveva na wenzake, hajimanara, Wambura, n.k
 
Malinzi ndo alimtoa kifungoni wambura lakini tabia ni zaidi ya ngozi
Malinzi leo yupo ndani inaonekana wambura nae atamfuata wakapige stori
 
TFF AIMWACHIIMTU SALAMA
 
Sijúi kwa nini viongozi wenye nasaba na simba huwa wezi wezi!

hii ni kweli mkuu! unamkumbuka hassan hasanoo kesi ya wizi wa kontena la shaba?...na kuna mwingine kafungwa miaka 50 china kwa kesi ya ngada
 
Wasukuma huwa tuna msemo wa kutahadharisha watu, huwa tunasema "SHOKASHOKA IKASHOKELAGA NA YINGI" huyu Wambura akanyee debe tu aliyataka mwenyewe. Kurudi rudi kwake TFF ndiyo alikuwa anayatafuta haya!
 
Wambura anawaza wizi tu kila siku , alipewa uongozi pale simba kidogo tu lakini aliafuna hadi mifupa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…