Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu shutuma zote za makosa ya kifedha zinazolikabili soka la Tanzania, zaidi ya asilimia 90 huwahusu viongozi wenye uhusiano wa moja kwa moja na timu ya SIMBA S.C.Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.
Kosa la kwanza ni kupokea fedha za TFF isivyo halali.
Pili kugushi barua
Pamoja na kushusha hadhi ya TFF
Wana hatari sana.Simba nao wamezidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui kwanini toka mwaka 2007 sina hamu wala mzuka wa kufatilia Mpira wa bongo.
Ujanja,ujanja, Njaa sana-Mpira wa bongo.
Sijúi kwa nini viongozi wenye nasaba na simba huwa wezi wezi!Simba nao wamezidi
Michael Wambura au Boniface Wambura?
TFF AIMWACHIIMTU SALAMAKamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.
Kosa la kwanza ni kupokea fedha za TFF isivyo halali.
Pili kugushi barua
Pamoja na kushusha hadhi ya TFF
Sijúi kwa nini viongozi wenye nasaba na simba huwa wezi wezi!
Wambura anawaza wizi tu kila siku , alipewa uongozi pale simba kidogo tu lakini aliafuna hadi mifupa !Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.
Kosa la kwanza ni kupokea fedha za TFF isivyo halali.
Pili kugushi barua
Pamoja na kushusha hadhi ya TFF
True, nimpigaji tena sana, amekaa kimaslahi tuuWambura ni mpigaji siku zote hana jipya katika soka