Kimenuka Kenya: Rais Uhuru Kenyatta awaondolea Bodyguards Odinga na Musyoka

du! yaani kuvua maiti badala ya samaki?
 
Rais Uhuru ana point, walinzi wao watawalinda vipi kwenye maandamano wakati huko huko kwenye maandamano tayari kuna polisi wa kutosha? Hiyo itakuwa ni kufanya kazi ile ile mara mbili! Watarudishiwa walinzi wao baada ya maandamano! Simple!
 
Acha upotoshaji mwambie aliyekutuma hatuwezi kuvigonganisha vyombo vya usalama wao siwanataka kuandamana waandamane tu watalindwa na polisi au wanataka mabodyguard wapambane na polisi ikitokea vurugu au?
 
Kwani katiba yao inasemaje juu ya ulinzi wa maraisi na mawaziri wakuu wastaafu? Au huwa ni vile atakavyoamua mkulu wa kule?
Jaji augustino ramadhani alinyanganywa walinzi nyumbani kwake na mheshimiwa dhaifu je haki za majaji wakuu zinasemaje tz
 
Tumekuchoka sasa na ramli zako, mara jiweke kisaikolojia , mara nyumba ile.... tired of your ramli. Badilisha tabia please! Badilisha namnan yauandishi wako
 

Sasa kama Raila na Kalonzo wanaenda kwenye maandamano 'haramu' itakuwaje wawe na walinzi wa serikali? Use common sense man! Rais hawezi kuruhusu vyombo vya taifa kutumika katika shuhuli ambazo ni haramu, lakini kama ni campaign za kutafuta kura ni sawa kwani washapangiwa vituo nchi nzima na tume ya uchaguzi yaani IEBC. Kudos Uhuru.
 
Umesema vyema mkuu
 
Baba wa demokrasia Africa kafanya yake teh teh teh..kuna watu walikuwa wanamshauri na mtawala wetu hapa tz amuige Kenyatta.. teh teh teh
Nadhani itabidi tumuige baba wa demokrasia Africa.

Sumaye,Lowassa ulinzi uondolewe fastaa.
 
Rais Uhuru ana point, walinzi wao watawalinda vipi kwenye maandamano wakati huko huko kwenye maandamano tayari kuna polisi wa kutosha? Hiyo itakuwa ni kufanya kazi ile ile mara mbili! Watarudishiwa walinzi wao baada ya maandamano! Simple!
Wanalinda RAIA wengine
 
Kitendo kibaya sana kufanywa na rais kipindi hiki.. usiojulikana wakimpiga mashine SMG bwana Raila patakuwa hapatoshi.. Naona wenzetu mnawashwawashwa mnachokitafuta mtakipata ..
 
Hizi katiba zetu haziwleweki inatakiwa kampeni zikianza rais aliye madarakani ni mgombea akabidhi madaraka kwa mtu mwingine kama Jaji mkuu
Inawezekanaje (hasa kwa Africa) haki kutendeka wakati huku wewe ni rais na vyombo vyote vya dola unavyo upande mwingine wewe ni mgombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…