Kimenuka Kenya: Rais Uhuru Kenyatta awaondolea Bodyguards Odinga na Musyoka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kiongozi wa Nasa Raila Odinga ameishtumu polisi kuwa wana mpango wa kuwatishia upinzani baada ya kumuondolea ulinzi wa serikali

Walinzi wa Raila Odinga na wa mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka uliondolewa Jumatatu asubuhi

Raila Odinga alisema hakufahamishwa na serikali kuhusu kuondolewa kwa ulinzi huo na kusema wananchi wa Kenya ndio watakuwa walinzi wake

Mwenyekiti wa ODM John Mbandi ameipa serikali masaa 24 kurudisha ulinzi huo na kusema Rais Kenyatta na serikali yao wana majukumu ya kulinda raia wote bila kuangalia itikadi zao kisiasa na kusema madhara yoyote yakiwapata viongozi wao watailaumu serikali
===============================

Nasa leader Raila Odinga on Tuesday accused the police of a plot to intimidate the opposition after they were stripped of state security.

Mr Odinga’s bodyguards and those attached to his running mate Kalonzo Musyoka were withdrawn on Monday evening.

DEMOS

The officers were recalled to General Service Unit headquarters in Nairobi on the eve of planned demos against the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC).

The demos went on as planned in Nairobi and Kisumu but Mr Odinga, Mr Musyoka and other top officials of the Nasa were conspicuously missing.

Mr Odinga said the move by the government to deny him state protection was part of a wider scheme to cause harm to opposition leaders.

The officers, he said, were recalled without official communication.

Mr Odinga, while addressing a press conference at his Capitol Hill offices in Nairobi said under the law, he was entitled to protection by the government.

ULTIMATUM

"Nobody has informed me on the withdrawal. I woke up and found the officers had been recalled,” said Mr Odinga.

“However my security are the people of Kenya who we will stand with irrespective of the circumstances.”

Earlier, MPs allied to Nasa threatened to stage mass protests should the government fail to reinstate the two leaders’ bodyguards.

The MPs, led by ODM national chairman John Mbadi, said they have given the government a 24-hour ultimatum to restore the security.

Mr Mbadi said under the law, President Kenyatta had the responsibility of protecting all Kenyans irrespective of their political inclination.

“The move by Jubilee sets a dangerous precedent. We will not be cowed into submission,” said Mr Mbadi.

“If anything happens to our principals, we will solely blame it on President Kenyatta.”

===============================

Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.

Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?

Shikamoo Uhuru Kenyatta.

Nawasilisha
 
Gone nuts!
 
Unafurahia ujinga,hebu nao CCM wawaondolea kinga akina zero,mamvi na dj
 
kikatiba ipoje

Ndiyo imetoka hiyo Mkuu. Katiba ya Kenya inampendelea na kumbeba yule aliyeshika ' dola ' na nadhani hata katika nchi zingine zote ila sina uhakika kwa Tanzania Kwetu huku kwani tunaheshimu sana Katiba yetu, tunaipenda hii hii na wala hatutaki ibadilishwe. Sijawahi kuona Katiba nzuri duniani kote kama ya Kwetu nchini Tanzania kwani imetufanya hadi leo Watanzania tuwe wamoja, tupendane, tushirikiane, hata mmoja akiudhiwa au kuibiwa Kura na mwenzake hucheka na kupeana mikono ya amani huku Katiba hiyo hiyo ikitufanya sasa siku hizi tuwe tunawavua Binadamu wenzetu Baharini badala ya Samaki halafu hatupewi taarifa yoyote na Wahusika na maisha yanaendelea na Katiba yetu.
 
Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.

Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?

Shikamoo Uhuru Kenyatta.

Nawasilisha
Wee jamaa me huwa nakupinga sana ..sababu huwa hunaga point za maana.
 
Unafurahia ujinga,hebu nao CCM wawaondolea kinga akina zero,mamvi na dj

Kalale zako tu Mkuu kwani naona ' utomvi ' wa ' Sumu ' umeshavilia tayari katika ' Ubongo ' wako huo uliopo katika Bichwa lako kubwa hilo utadhani Tairi za Magari ya Migodini.
 
Uhuru ni mwana demalokrasia bora duniani ,nasikia anafananishwa na obama
 
Baba wa demokrasia Africa kafanya yake teh teh teh..kuna watu walikuwa wanamshauri na mtawala wetu hapa tz amuige Kenyatta.. teh teh teh
 
Back
Top Bottom