Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Pole Jide mungu atakusimamia ..Mwanadamu ni nani hata akuangushe wewe
Endelea kufanya kazi kwa bidii na matunda utayaona
 
huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.

Hembu Funguka Dada kwa huyu jamaa wa 3 ni nani?
 
Inawezekana ni kweli Jide usemayo na hakika wengi tunalaani kitendo hicho ila wasanii wa TZ mna shida sana aisee, unasema haya mambo yameanza miaka 10 iliyopita na ukawa unachuna tu, kwanini that time Sugu anagombana nao hukuunganisha nguvu? Huoni kama hukumtendea haki huyo Sugu na wanamuziki wengine wote wanaonyonywa na hawa jamaa? Dada yangu huoni kama nguvu yako kimuziki ingechanganyika na ya Sugu ingesaidia sana kubadili hii hali?

Kwanini sasa na sio miaka iliyopita?

BTW umenifurahisha ya kuwa kama wanajiona wanaweza kumbeba mtu akawa Star wawabebe dada zao waimbe! Sasa kama wana sauti kama ya kwangu hapa unaanzaje kuwabeba jamani
 
nJAA ni kitu kibaya sana:

1. Njaa imesababisha wasanii wenye nia ya kutumia sanaa yao kufanya maisha kushindwa kufanya hivyo kwa sababu wao wakigoma kulipwa pesa mkia wa mbuzi wanakuja WASANII NJAA WANAKUBALI HATA KUIMBA BURE ILI WAPATE PICHA ZA KUPOST FB

2. Pili wasanii kutotumia nafasi ya kufaikiwa kidogo kujiwekea mtaji ili ukupe kiburi cha kusimama kwa miguu yao pia kumesababisha njaa ambayo inakuwa rahisi kuinamishwa kila kukicha. Na wale waliowekeza kama jiDe, SUGU na PROF (ambae bila shaka hakuogopa vitisho vya kuwa akifanya nyimbo na JIDE atapotezwa)

NINI KIFANYIKE:

+ Mi nashauri wasanii wenye uwezo wafungue radio station; sTUDIO ZA muziki NA KAMPUNI ZA KUSAMBAZA NYIMBO zao wenyewe ambazo zitakuwa na nia ya kukuza sanaa kwa kweli nakumbuka usemi wa mtu ambae simkumbuki kuwa "KAMA WAMESHINDWA KUKUFANYIA FANYA MWENYEWE"!

Hii ndio njia pekee sahihi ya kuondokana na ukiritimba huu wa STAR SEaRCH inayozalisha waimbaji wabovu, TUZO ZA KIKUDA ZINAZOTOLEWA KWA WALE WALIokubali kunyonywa na TOP TEN ZA KIJINGA ZISIZOANGALIA UBORA WA KAZI NA STUDIO ZILIzoKUWA TAYARI KULAZIMISHWA KUZALISHA NA KUPROMOTI MUZIKI UNAOTAKIWA NA KITUO FULANI CHA RADIO!
 

Mi simlaumu JIDE kwa kuchelewa kuyasema hayo. System ya hii nchi imejengwa kupitia WOGA, sio Jide tu hata wafanyakazi wa serikalini Tanzania wenye maono ya siasa hawewezi kugombea nafasi za kisiasa kupitia chama cha upinzani. Wachache wanaofanya hivyo ni wale ambao tayari SECURED au wanajitoa muhanga. The same to Wanamuziki, jide asingefanya hivyo those days kwa kuwa bado alikuwa anaamini kuwa bila hao jamaa wawili hawezi kutoka kimuziki. Sasa amegundua kuw hapa duniani your fate is on your own hand kaamua kujitoa muhanga. Wanamuziki wengine sio rahisi kujitoa muhanga kwa kuwa mtandao wa Ruge na Kusaga umeenea sana, labda kama hautegemei muziki kwa maisha yako ya kila siku.

Kenya na Uganda wanamuziki ni matajiri sana kwa kuwa kila kitu kiko transparent na watu wanakula vya halali, Bongo wanamuziki ni maskini licha ya mambo makubwa wanayofanya hela zote wanakula Ruge na Kusaga. Wanabebwa na CCM lakini 2015 tutawapeleka The Hague ya Muziki
 
Jide mdogo wangu umechelewa sana kuamka... Wakati SUGU na VINEGA wanapiga kelele ulikuwa wapi.... Hao jamaa under CC.. ni wazulumaji mbaya sana
 

Sio kazi ya Jay dee kutetea wanamuziki wengine. Kila mtu anabeba msalaba wake. Kama hao wanamuziki wengine hawawezi kujitetea shauri yao.
 
nakupa pongezi dada yangu kwaujasili wako .kla binadamu anauhulu wamahamuzi yake endapo akiona anaonewa dadayangu jalbu kupotezea nakusahau yote uliyo tendewa yanyuma tupakule anzaupya kwakasi .ni ayoo2
 
Aisee!
Huyu ni mtu mwingine kujitokeza hadharani kuwachana Live hawa wahuni...watu walidhani Sugu ni mropokaji, haya!
Kumbe wasanii chipukizi wamekuwa tighted sana na hawa mafisadi!...!
"Serukamba" kabisa!

Hii kali kwenye red! Huu ni msemo mpya!
 
nakupa pongezi dada yangu kwaujasili wako .kla binadamu anauhulu wamahamuzi yake endapo akiona anaonewa dadayangu jalbu kupotezea nakusahau yote uliyo tendewa yanyuma tupakule anzaupya kwakasi .ni ayoo2

Kuna kitu kinaitwa "punctuation" ulikisoma..!!?
 
Jide show them u r mo than a woman!! Mo than what they expected o to b!! U lived b4 them, and u will live after them!! Stupid men, stupid clouds!
 
Hembu Funguka Dada kwa huyu jamaa wa 3 ni nani?

Wanasema eti ni Sebastian Ndege kwan ndio mwenye ile Skylight Band ambayo imechukua wasanii wengi kutoka Machozi band ya lady Jaydee akiwepo Joniko Flawa ...............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…