Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
kwa nini achague malalamiko .?sugu alipokuwa analalamika alisema kila kitu, kuanzia clouds,wahindi mpaka makampuni ya simu
Sugu ndiye aliyemtoa Jide
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini achague malalamiko .?sugu alipokuwa analalamika alisema kila kitu, kuanzia clouds,wahindi mpaka makampuni ya simu
huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.
Jf raha sana!!How on earth could you comment this !?
Inawezekana ni kweli Jide usemayo na hakika wengi tunalaani kitendo hicho ila wasanii wa TZ mna shida sana aisee, unasema haya mambo yameanza miaka 10 iliyopita na ukawa unachuna tu, kwanini that time Sugu anagombana nao hukuunganisha nguvu? Huoni kama hukumtendea haki huyo Sugu na wanamuziki wengine wote wanaonyonywa na hawa jamaa? Dada yangu huoni kama nguvu yako kimuziki ingechanganyika na ya Sugu ingesaidia sana kubadili hii hali?
Kwanini sasa na sio miaka iliyopita?
BTW umenifurahisha ya kuwa kama wanajiona wanaweza kumbeba mtu akawa Star wawabebe dada zao waimbe! Sasa kama wana sauti kama ya kwangu hapa unaanzaje kuwabeba jamani

Well you sayed! Or well said?,there's no such English word in English dictionary, hiki kingereza jaman tutumie lugha yetu tu, tutaeleweka vizuri.
Aisee!
Huyu ni mtu mwingine kujitokeza hadharani kuwachana Live hawa wahuni...watu walidhani Sugu ni mropokaji, haya!
Kumbe wasanii chipukizi wamekuwa tighted sana na hawa mafisadi!...!
"Serukamba" kabisa!
I love jide soo muuuuch, her enemies are mine too!!!! Fu*k em a million times!
nakupa pongezi dada yangu kwaujasili wako .kla binadamu anauhulu wamahamuzi yake endapo akiona anaonewa dadayangu jalbu kupotezea nakusahau yote uliyo tendewa yanyuma tupakule anzaupya kwakasi .ni ayoo2
Hembu Funguka Dada kwa huyu jamaa wa 3 ni nani?