Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Huyu ni kinega mkomavu. Hii ni Anti virus IV. Hadi msibani wasihudhurie na wala redio yao ya wafu isitangaze kifo chake??? Kusaga tokea amezaa na Zamaradi naona nuksi zinamuandama tu

Mkuu funguka sijakusoma.
 
Hii imeshaletwa na mdau KakaJambazi tayari....!

Kimenuka: lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa


WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA




Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari.
 
Last edited by a moderator:
sasa yale mambo au ahadi ya studio ya mh rais itakuwaje? Kuna ulazima wa hawa watu kusuluhishwa aisee.
 

Lazima awe mbogo etii wanakata mirija.. Wanataka kuiua band yake, pia kuna uwezekano wa kukosa wadhamini ktk tv show yake.. Yaani Clouds kwa kutumia influence yao wanataka kummaliza Jide kama walivyowapoteza wengine
 
Hizi tuzo niliziponda toka nibahatike kuwasikia watu wa clouds wanaongea nani apewe tuzo
 
Nafikiri hili kuna zaidi ishu zaidi ya tunavozani
 
Mwisho WA hiyo radio unakaribia.hivi kumbe zamaradi kazaa na kusaga?hii kwangu ni breaking news
 
mia dada mkubwa cha msingi ongeza bidii katika kazi zako utafanikiwa ushauri usitegemee muziki tu angalia na mambo mengine kama biashara nakadhalika rughe na kusaga ni vinega

Hata huko kwingine wanawafuta Jide analalamikia fitna zinazohusiana na TV show yake ya DIARY walitaka iwe clouds TV bbada ya Jide kukataa wanalloby na wadhamini waipige chini kwenye hotel band yake inapopiga washaanza majungu... Ruge na Kusaga hawafai wanaitumia influence yao vibaya sana Sugu ana habari yao jins walivyompora project ya malaria no more
 
dada hii hatari dada jide naona ameamua kufunguka ile mbaya kweli joto hasira
tumekuelewa,tumekusikia mama mimi mwenyewe nahisi ntarusha hata jiwe moja kama ulivyosema
 

jide ukifa kifo cha kawaida mimi sina neno lakini chenye utata mimi nitahakikisha nauwa hiyo radio pamoja na hao watu washenzi, dada kiukweli sio tu nazipenda nyimbo zako bali hata roho yako.
 
Go go goooo bint machozi, nakukubali sana single zako tutanunua kwan kipaji unacho.achana na machuma ulete hao wanaovizia kula kwenye migongo ya wasanii
 
Dah hata wauza madawa ya kulevya wangekuwa wanatajwa kama alivyofanya huyu dada kusingekuwepo na biashara hiyo.pole dada
 
Acha nao hao.......wasije kbs!watu wa dizain hiyo hawafai.Wanyonyaji wa nguvu za watu
 
tatizo hawa jamaa wanamtegemea mkubwa... ndio maana hujitahidi sana kupromoti kaz za mkubwa redioni kwao.. MKUBWA DHAIFU
 
Mwisho WA hiyo radio unakaribia.hivi kumbe zamaradi kazaa na kusaga?hii kwangu ni breaking news

Very breaking news......khaaaaa......!!
nikirudi kwenye topic.......mpaka Jide ameongea.....kweli hao majamaa ni mashetwain........mdada wa watu anajitahidi sana.......inaudhi kuona mtu anajituma kwa jasho lake.....mwingine anamrudisha nyuma.....kwa hili kwa kweli......limenigusa.......
 
Dah hata wauza madawa ya kulevya wangekuwa wanatajwa kama alivyofanya huyu dada kusingekuwepo na biashara hiyo.pole dada

hehehe kweli kabisa,
ila dada pole na shida zote, ila sie wengine tusingekujua kama sio hao hao, wema waliokutendea zamani, hautafutwa kwa ubaya wowote wanaokutendea sasa.
Ningefurahi katika yote ungeanza na kuwashukuru kwanza kwa dhati
 
wapi Jide mimi penda wewe sana yaani jotoHasira litupitie mbali
mimi mwenyewe hao ntawarushia hata jiwe moja siku wakija ka ulivyosema......

Kusaga ni ana roho ya kwanini yule,afu ni mtu mzima lakini anapenda kujidogosha mbaya kujiona kama wa 1990's
...........yule aloleta thread ya umri pleeease tunaomba utuangalizie huyu jamaa nae ni wa mwaka 40 na ngapi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…