Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

pole sana dadangu ila wengi walilalaamika miaka ya nyuma sasa tunaamini hawa jamaa ni fitna mbaya na ndo wanaoua muziki wa kibongo unganeni basi wasanii muwaangushe kama walivofanyaga waganda mbona waliweza????
 
Ni mameno mazito sana ambayo yametendewa haki kwa kuandikwa kwa wino mwekundu.
Haiwezekani kila msanii awalalamikie akina Ruge tuu, lipo tatizo.
NA inapotokea malalamiko hayo yanapotolewa na mmojawapo wa wasanii vinara nchini inatisha zaidi!
 
Haya ndio maisha sjui ni tz au na nchi zingine embu mlio kaa kaa nje kidogo fungukeni!
Maana kila chochote utakacho kigusa nchi hii kuna mtu au watu wa2 vikwazo
iwe wizaran,makazin,ktk halimashaur,viwandan,wasanii wa film na musc iwe unafuatilia mzigo bandarin au mikopo ya chuo ikitoka itazungushwa mpaka basi n.k
sasa ukiwa muoga kidomo domo
eneo husika ulipo utawekewa vikwazo,kazi huna, mthan utaferishwa n.k Tz kwakweli
ina matatzo kila kona utasikia ''ili
jamaa/ofc/wizara nk ikue ni lazima furan ahamishwe au afukuzwe kazi...''

sasa wasanii musc mhindi awachakachue bado mijitu from
no where inaleta vikwazo!!

Jide pa1 na kufunguka lkn wasamehe bure tu!! Aibu yakwao tu!!
 
Very breaking news......khaaaaa......!!
nikirudi kwenye topic.......mpaka Jide ameongea.....kweli hao majamaa ni mashetwain........mdada wa watu anajitahidi sana.......inaudhi kuona mtu anajituma kwa jasho lake.....mwingine anamrudisha nyuma.....kwa hili kwa kweli......limenigusa.......

Umeshasikia upande wa pili una hoja gani au hujali hata kusikia?
 
Huyu ni kinega mkomavu. Hii ni Anti virus IV. Hadi msibani wasihudhurie na wala redio yao ya wafu isitangaze kifo chake??? Kusaga tokea amezaa na Zamaradi naona nuksi zinamuandama tu

Mkuu ni yakweli zamaradi kaliwa na jamaa mpaka katotoa? Au jide nae alitaka kuliwa nini maana du!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Damn! What the flip is going on between her and them?

So far I've seen shots being fired from one side only and the other side is not returning any fire (at least not publicly).

Just wondering why is she so mad. What exactly did they do to her to make her this mad?

Kakasirika maana clauz and Co. wamemfungia njia zote na wanajaribu kumzibia hata vichannel vichache alivobakiza kujipatia riziki maskini dada wa watu. Duniani kuna watu wana roho mbaya usiombe mtu akufitini hasa sehemu unayopatia kipato, utaongea yote zaidi ya haya alioongea Jide kama sio kuwa chizi na kujiua.
 
Wamemzibiaje lakini? Na kuna ushahidi gani kwamba wamemzibia? Na kwani Clouds wao ndo wamiliki na wahodhi wa riziki zote za burudani Tanzania nzima hadi kuweza kumzibia msanii kama yeye au hata mwingine?
 
kinega part 3, go on ma sister, nakuhakikishia weng tupo nyuma yako na sio hao MAKUPE,
 
Inasikitisha sana kupe ni kupe tu clouds makupe.
 
Wamemzibiaje lakini? Na kuna ushahidi gani kwamba wamemzibia? Na kwani Clouds wao ndo wamiliki na wahodhi wa riziki zote za burudani Tanzania nzima hadi kuweza kumzibia msanii kama yeye au hata mwingine?

Msome vizuri utaelewa mkuu, katoa ya moyoni.
 
Si umesikia wanamfitini afukuzwe kwenye hoteli anayopigia...watamfuata pale alipopanga hoteli yake wamkatalie kuendelea kupanga pale!siwajua watu wakikutafuta wanaziba mirija yako tu,unakimbia mji mdomo juu kama mbwa koko!ni mbaya sana kuziba riziki za watu kama nyie ndio Miungu watu!tusubiri kama watajibu haya mapigo maana yamekuwa makali sana!
 
Okeeeee kumbe ilibidi Gadner aanze kuondoka kwanza pale ili utoe ya moyoni mwako, binafsi nakupa hongera kwa msimamo na ujasiri ulonao, pia hongereni kwa kuwa lenu moja na mumeo Gadner!
 
Hata kama kayatoa kwenye ini ukweli ni kwamba upande wa pili bado haujafunguka hadharani hivyo hatuwezi kutoa mtazamo wenye uwiano mzuri.

Upande wa pili unalijua watendallo kubaki kimyaa nako ni busara
 
Si umesikia wanamfitini afukuzwe kwenye hoteli anayopigia...watamfuata pale alipopanga hoteli yake wamkatalie kuendelea kupanga pale!siwajua watu wakikutafuta wanaziba mirija yako tu,unakimbia mji mdomo juu kama mbwa koko!ni mbaya sana kuziba riziki za watu kama nyie ndio Miungu watu!tusubiri kama watajibu haya mapigo maana yamekuwa makali sana!

Unakumbuka lile sakata la maji ya kunywa kutumia picha yake jamaa wallivyo mfitini mpaka leo.
 
Lakini wadau...?Mimi si msikilizaji saana wa redio za hapa lakini kila nikisikiliza nakugunfulia hiyo redio tajwa kwa namna moja au nyingine naona kama wasanii wanaotajwa ni walewale kila siku na nyimbo zinazopigwa ni hizo hizo kwa namna ya uchunguzi wangu wa haraka inawezekana wasanii wanaopigwa sana na hii redio ni wasanii wao na sio vinginevyo, kuna wasanii kama Diamond, Bob Junior, Shilole, Lina, Barnaba, kila siku lazima watajwe japokuwa sio wote ni wakali... Ni mara chache sana utasikia wasanii kama Prof Jay, Afande sele, Solo Thang, Joh Makini au wasanii tofauti na wanaotoka THT wanatajwa na kupigwa nyimbo zao mara kwa mara mimi nina wasiwasi sana hii ni redio ya propaganda au ipo kwa manufaa ya watu fulani fulani, maana Lady Jaydee sio msanii mdogo na huwezi mfananisha na msanii yeyote Tanzania kwa mafanikio na level alizofikia sasa hivi...Kama wasanii watakuwa wanaogopa kikundi cha watu fulani fulani basi hakika hawatafika popote zaidi ya kufa masikini
 
Aiseee kungekuwa na wasanii 10 kama dada yang ww, naamini unyonyaj wa clouds ungeisha. Mungu ndo mtoaji wa rizki, wabane wabanavyoo, yeye ndo final say. Inshaallah mola atawalipa hapa hapa duniani.

huyu mwanamke ni mnafiki sana.
 
Lakini wadau...?Mimi si msikilizaji saana wa redio za hapa lakini kila nikisikiliza nakugunfulia hiyo redio tajwa kwa namna moja au nyingine naona kama wasanii wanaotajwa ni walewale kila siku na nyimbo zinazopigwa ni hizo hizo kwa namna ya uchunguzi wangu wa haraka inawezekana wasanii wanaopigwa sana na hii redio ni wasanii wao na sio vinginevyo, kuna wasanii kama Diamond, Bob Junior, Shilole, Lina, Barnaba, kila siku lazima watajwe japokuwa sio wote ni wakali... Ni mara chache sana utasikia wasanii kama Prof Jay, Afande sele, Solo Thang, Joh Makini au wasanii tofauti na wanaotoka THT wanatajwa na kupigwa nyimbo zao mara kwa mara mimi nina wasiwasi sana hii ni redio ya propaganda au ipo kwa manufaa ya watu fulani fulani, maana Lady Jaydee sio msanii mdogo na huwezi mfananisha na msanii yeyote Tanzania kwa mafanikio na level alizofikia sasa hivi...Kama wasanii watakuwa wanaogopa kikundi cha watu fulani fulani basi hakika hawatafika popote zaidi ya kufa masikini

Unafiki wake upo wapi?
 
Back
Top Bottom