Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Ruge na kusaga ni makada wa ccm.wanaweza kufanya lolote kwa wasanii.redio ya mashoga.washalalamikiwa na wasanii kibao.bora lad jadee kawatolea uvivu.
 
Hata kama kayatoa kwenye ini ukweli ni kwamba upande wa pili bado haujafunguka hadharani hivyo hatuwezi kutoa mtazamo wenye uwiano mzuri.

nyani ngabu kama upande wa pili haujaja na STATEMENT???TUSUBIRI TU BILA KUJADILI?NI SAWA NA KUSEMA SUALA HILI LIPO MAHAKAMAN LISIJADILIWE
 
labda na wao tungewasikia.......japo sina kumbukumbu ya kuwasikia wakijibu shutuma zao......ila ni kwa nini wao tu kila mara.......?

Dr Preta...watajibu shutuma ngapi? Maana kama wakiamua kujibu kila shutuma basi nadhani wataacha hata kazi zao za msingi za kuendesha hicho kituo na kujikita tu katika kujibu shutuma za watu ambazo haziishi na hazitaisha.

Ila kwa nini wao tu kila mara? Well, labda kwa vile mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe....
 
Lakini wadau...?Mimi si msikilizaji saana wa redio za hapa lakini kila nikisikiliza nakugunfulia hiyo redio tajwa kwa namna moja au nyingine naona kama wasanii wanaotajwa ni walewale kila siku na nyimbo zinazopigwa ni hizo hizo kwa namna ya uchunguzi wangu wa haraka inawezekana wasanii wanaopigwa sana na hii redio ni wasanii wao na sio vinginevyo, kuna wasanii kama Diamond, Bob Junior, Shilole, Lina, Barnaba, kila siku lazima watajwe japokuwa sio wote ni wakali... Ni mara chache sana utasikia wasanii kama Prof Jay, Afande sele, Solo Thang, Joh Makini au wasanii tofauti na wanaotoka THT wanatajwa na kupigwa nyimbo zao mara kwa mara mimi nina wasiwasi sana hii ni redio ya propaganda au ipo kwa manufaa ya watu fulani fulani, maana Lady Jaydee sio msanii mdogo na huwezi mfananisha na msanii yeyote Tanzania kwa mafanikio na level alizofikia sasa hivi...Kama wasanii watakuwa wanaogopa kikundi cha watu fulani fulani basi hakika hawatafika popote zaidi ya kufa masikini
ni kwamba SOLO hana uhusiano mzuri na hawa jamaa kwa muda mrefu sana kabla hajaenda UK,mara nyingi nilikua nikinsia on air redio wani akipayuka,
then hapo kwenye red ukweli ni
wasanii wengi wanahis ukiikorofisha clouds bhaaaasi
 
Ni mameno mazito sana ambayo yametendewa haki kwa kuandikwa kwa wino mwekundu.
Haiwezekani kila msanii awalalamikie akina Ruge tuu, lipo tatizo.

jaman sasa ndo tujue clous fm ni unyanyasaji tuuu, kwanini nasema hivyo huyu dada sio wakwanxa kulalamika, viongoxi wa clous wamekua wakifanya mambo ambayo ni yaukandamizaji na unyonyaji ni kweli hii redio imekua yamatangazo ya vifo vya watu maarufuu tuiuu, hay sababu ya kuuwaambia wasanii wengine wasishirikiane na na huyu wanajenga au wanapotosha tukumbuke ishu ya sugu, zamaradi, na wengineeoo, wanataka kukupangia na sio kupanga wewe kama ww na kila mtu anamaamuzi yake mwenyewe na si swala la kuamuliwa, nilijiuza mawali mengi aana kwanini gadna g aliondoka na kwanii j dee atangazii na hii redio au mbona nyimbo xa jide azipigwii, kumbe mke mtuu yupo kwenye msuguano mkubwa saana tena wanamkalia vikao vingi ili kumkandamiza, pia hata ule mgahawa wa nyumbani lounge haupewi tena promoo, kumbe gadna anahaki yakuondoka clous ncoz huwezii kaa na watu wanao mnyanya mkeo banaa, clous watangazaji wake ni wazuri kuliko viongozii wake sasa kill music wanaenda kupanga matokeo huyu apate huyu asipate ni ishara ya nini hiii , no logic,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, big up bint machoxiiii
 
kwa kweli mimi kama msikilizaji wa Bongo Fleva kwa zaidi ya miaka 10 sasa sijawahi kuona msanii mnafiki kama Jide , huyu dada kama walivyokuwa wasanii "avarage" wengi amesaidiwa sana na clouds fm kufika hapo alipo leo.
Siwatetei clouds kwa kuwa najua ni wabaguzi na wanyonyaji sana kwa wasanii wetu, lakini tukirudi kwenye ukweli huyu Jay D ni mnafiki sana, leo hii baada kukatiwa mirija pale clouds ameamua kuanzisha vita nao huku akitumia kigezo cha kuwa ni wanyonyaji, ..Jay d hajui anachotaka..kwa nini asilalamike kuhusu "Wahindi" ambao ndio wanyonyaji wakubwa wa wasanii, kwa nini asilalamike kuhusu wanavyonyonywa na makampuni ya Ringtone? Anachofanya Jay d ni unafiki mtupu, yeye kama anamatatizo na clouds aweke wazi huo ugomvi wake na clouds na wala asiseme habari za unyonyaji.
Kwa mwendo huu Umoja wa Wasanii wa Bongo flavour bado saana.
Much Respect to
Mr.Two a.k.a Sugu
Mapacha.
solo thang
wanaharakati wote wa VINEGA
Na wewe unaeamini kuwa Jay D ni mnafiki.
 
Weeeeee Nyani Ngabu sikuelewi kabisa issue za msiba wa mama wa mwenzetu UNA~KOSOA
lkn hawa jamaa UNAKUJA JUUU KAMA MOTO WA KIFUUUUU! Sikuelewi! JIPANGE!
 
clouds hawana tofaut na wale wavaa nguo za kijani
 
Mwisho wa ubaya aibu!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
All these questions can well be explained by Honorable Joseph Mbilinyi aka Sugu. He once talked and wrote to public about the Mafia type of business this people/syndicate are doing,but unfortunately many didint understand him. I didint expect Jdee to write what she wrote,but after reading what she wrote,i can smell something big is boiling in our bongo flavour industry!


Damn! What the flip is going on between her and them?

So far I've seen shots being fired from one side only and the other side is not returning any fire (at least not publicly).

Just wondering why is she so mad. What exactly did they do to her to make her this mad?
 
Damn! What the flip is going on between her and them?

So far I've seen shots being fired from one side only and the other side is not returning any fire (at least not publicly).

Just wondering why is she so mad. What exactly did they do to her to make her this mad?

Khaaaaa na kiingereza kitamu kweli wewe kijana ....
 
Huyu dada yale Majini Mahaba bado Yanamfanya awehuke. Faya kazi; acha kulalamika
 
Tumsamehe, yale majini bado YANAMSUMBUA.
 
Ishu n kwamba ukianza kujitambua tu, kwa prime times umeshakuwa tatizo. Ndio mana kila kukicha wanapambana kuwapa promo wasanii ambao hawajajitambua. Anti virus vol 1 na 2 pamoja na kitabu cha Sugu vimeweka waz uharamia wa hao jamaa ktk music industry from bongoflavo to gospel.
 
Redio ya wafu.makada wa ccm hao ndio hapa huwa naikubali antivirus ya sugu track 'i wana kill you right now'
 
Back
Top Bottom