Ni mameno mazito sana ambayo yametendewa haki kwa kuandikwa kwa wino mwekundu.
Haiwezekani kila msanii awalalamikie akina Ruge tuu, lipo tatizo.
jaman sasa ndo tujue clous fm ni unyanyasaji tuuu, kwanini nasema hivyo huyu dada sio wakwanxa kulalamika, viongoxi wa clous wamekua wakifanya mambo ambayo ni yaukandamizaji na unyonyaji ni kweli hii redio imekua yamatangazo ya vifo vya watu maarufuu tuiuu, hay sababu ya kuuwaambia wasanii wengine wasishirikiane na na huyu wanajenga au wanapotosha tukumbuke ishu ya sugu, zamaradi, na wengineeoo, wanataka kukupangia na sio kupanga wewe kama ww na kila mtu anamaamuzi yake mwenyewe na si swala la kuamuliwa, nilijiuza mawali mengi aana kwanini gadna g aliondoka na kwanii j dee atangazii na hii redio au mbona nyimbo xa jide azipigwii, kumbe mke mtuu yupo kwenye msuguano mkubwa saana tena wanamkalia vikao vingi ili kumkandamiza, pia hata ule mgahawa wa nyumbani lounge haupewi tena promoo, kumbe gadna anahaki yakuondoka clous ncoz huwezii kaa na watu wanao mnyanya mkeo banaa, clous watangazaji wake ni wazuri kuliko viongozii wake sasa kill music wanaenda kupanga matokeo huyu apate huyu asipate ni ishara ya nini hiii , no logic,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, big up bint machoxiiii