Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Mmetumwa kuja kupima upepo wakati watu wanadhulumiwa na clouds daily hakuna unafiki habari ndio hiyo.clouds ni wezi.
 
Huyu ni kinega mkomavu. Hii ni Anti virus IV. Hadi msibani wasihudhurie na wala redio yao ya wafu isitangaze kifo chake??? Kusaga tokea amezaa na Zamaradi naona nuksi zinamuandama tu


Taratibu jamani msije mkavunja ndoa za watu,kweli Kusaga anaweza kutembea mbali na kuzaa na kitoto kilichotajwa hapa kwenye wekundu,mwe dunia hii kweli hujafa hujaumbika
 
Saida Kaloli alilalamika kwa kupewa laki tano pamoja na kujaza uwanja wa taifa zamani leo uwanja wa uhuru jide nae atoa maneno mazito ruge, kusaga mnatatizo gani fungukeni tuwasikie
 
Tukisema ccm ni janga la taifa watu wanabisha.....
Hawa hawana tofauti na kinana anaeua Tembo 30 kwa siku, 900 kwa mwezi.
 
Namkubali sana huyu dada kaamua kufunguka hao clouds na Ruge wao wamenyonya sana wasanii ! Big up Jadee umefungua mlango kwa wasanii wengine!

sugu alianza, jide amefuata.
 
Kasema kama kusaga anajua kubeba watu, akambebe binti yake awe kama mwasiti
 
Kwaiyo mtu akikusaidia alafu akaona unapata mafanikio akaanza kukuzibia rizki kwa kutumia nguvu yake, huyo sio mtu mmbaya? Nakubali ukweli kwamba Jide clouds ilimsaidia sana mwanzoni na yeye hajaonyesha popote pale kwenye wosia wake kuwa hilo sio kweli. Anachoumizwa nacho ni kuona kuwa clouds wanahangaika kuhakikisha hapigi hatua akiwa mwenyewe bila wao. Sasa hapo anakuwa mnafiki au anakuwa mkweli? Wewe mleta hii mada naona ndio unamatatizo na inawezekana ni kibaraka mkubwa wa clouds pamoja na kuwa una pretend kuwaunga mkono vinega!
 
Umaskini wa fikra ni hatari kuliko umaskini wa hela
.....hata baba wa taifa alilisema hili.
 
Kama hujatumwa basi unajifanya kutomuelewa jide, jay dee kaandika mambo ya msingi sna kwamba kwann wanaziba mirija ya ridhiki zake, pia mtu huwezi kumbeba kam hana kipaji kam n hvyo kwanin wasiwabebe dada zao au watoto wao, la mwisho kwann kila siku no clouds tuuuuu dhisi ya sugu,rama d, mapacha, msimamo, mkoloni, afande sele, solo,prof jay hata saida karoli!
 
bado tunahitaji kujua nini kinahitajika ka hawa mashabiki..
 
mleta mada ni chakula ya watu kama walivyo anaowatetea hapa...clous ni wafu na watabaki radio ya wanaopumuliwa kichogoni..go to hell
..
 
Hawa jamaa wanauwezo wa kupanga nani awe kwenye kampeni wakati wa uchaguzi.
 
Mmetumwa kuja kupima upepo wakati watu wanadhulumiwa na clouds daily hakuna unafiki habari ndio hiyo.clouds ni wezi.

clouds wanadhulumu,
wahindi/madistributor wanadhulumu
makampuni ya simu yanadhulumu
.....Jay D mchumia tumbo,clouds wamemtema ndio anajifanya kushtuka,alikuwa wapi siku zote?
 
Kaandika kwa uchungu,hawa jamaa sijui wanaroho gan then wanajifanya walokole

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…