Kama hujatumwa basi unajifanya kutomuelewa jide, jay dee kaandika mambo ya msingi sna kwamba kwann wanaziba mirija ya ridhiki zake, pia mtu huwezi kumbeba kam hana kipaji kam n hvyo kwanin wasiwabebe dada zao au watoto wao, la mwisho kwann kila siku no clouds tuuuuu dhisi ya sugu,rama d, mapacha, msimamo, mkoloni, afande sele, solo,prof jay hata saida karoli!
Hivi huyu dada mume wake bado anafanya kazi kwenye hiki kiredio?
[/COLOR]
Taratibu jamani msije mkavunja ndoa za watu,kweli Kusaga anaweza kutembea mbali na kuzaa na kitoto kilichotajwa hapa kwenye wekundu,mwe dunia hii kweli hujafa hujaumbika
Mnafki wewe,huna hata haya!!jde kasaidiwa nin na clouds?unaujua msaada wewe?mara ya mwisho kumuona Jde kwenye matamasha yanayoandaliwa na Clouds ni lin?kwanin haujajiuliza kwanin?!!umetumwa wewe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
We kalou hujui unachosema kwani unaji- contradict mwenyewe, kwa hiyo wewe hutaki alalamike? Unataka akae kimya eti alikuwa wapi? Ameamua leo kusema so..? Sasa kama unakubali clouds ni wanyonyaji unafiki wa lady Jd upo wapi?? Hao wahindi nao utakuja muda wake
Mkuu ni yakweli zamaradi kaliwa na jamaa mpaka katotoa? Au jide nae alitaka kuliwa nini maana du!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
we Kalou.. unakiri clouds wanyonyaji na unakiri malalamiko ya jd ni unyonyaji wao.. sasa unafki wake upo wapi?
We kalou hujui unachosema kwani unaji- contradict mwenyewe, kwa hiyo wewe hutaki alalamike? Unataka akae kimya eti alikuwa wapi? Ameamua leo kusema so..? Sasa kama unakubali clouds ni wanyonyaji unafiki wa lady Jd upo wapi?? Hao wahindi nao utakuja muda wake
Mkuu mbona umecoment kama chekechea ! Hawa jamaa wanajifanya magodfather, wanasiliba. Kima mahali kwa kutumia influence yao. Mfano kama wanamjua mshikaji fulani wa airtel anayetoa udhamini, wanaenda kulobby afute udhamini !Wamemzibiaje lakini? Na kuna ushahidi gani kwamba wamemzibia? Na kwani Clouds wao ndo wamiliki na wahodhi wa riziki zote za burudani Tanzania nzima hadi kuweza kumzibia msanii kama yeye au hata mwingine?
Sijawahi kujua kumbe huyu Dada ni kilaza hivi! How on earth could you write this???
Mkuu mbona umecoment kama chekechea ! Hawa jamaa wanajifanya magodfather, wanasiliba. Kima mahali kwa kutumia influence yao. Mfano kama wanamjua mshikaji fulani wa airtel anayetoa udhamini, wanaenda kulobby afute udhamini !