Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kama hujatumwa basi unajifanya kutomuelewa jide, jay dee kaandika mambo ya msingi sna kwamba kwann wanaziba mirija ya ridhiki zake, pia mtu huwezi kumbeba kam hana kipaji kam n hvyo kwanin wasiwabebe dada zao au watoto wao, la mwisho kwann kila siku no clouds tuuuuu dhisi ya sugu,rama d, mapacha, msimamo, mkoloni, afande sele, solo,prof jay hata saida karoli!

miaka 10 jay d yuko kwenye game,lini ulimsikia akilalamikia Madistributor na clouds,kama sio unafiki ni nini?
 
Mnafki wewe,huna hata haya!!jde kasaidiwa nin na clouds?unaujua msaada wewe?mara ya mwisho kumuona Jde kwenye matamasha yanayoandaliwa na Clouds ni lin?kwanin haujajiuliza kwanin?!!umetumwa wewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hv Kalou unafahamu hadha wanayoipata wasanii!!!kina clouds inakuza vipaji kwann wanachagua nyimbo za kupiga na hakuna program ya kupiga nyimbo za wasanii chipukizi!!!!!
 
[/COLOR]
Taratibu jamani msije mkavunja ndoa za watu,kweli Kusaga anaweza kutembea mbali na kuzaa na kitoto kilichotajwa hapa kwenye wekundu,mwe dunia hii kweli hujafa hujaumbika

acha ubishi wewe... mambo yote hadharani, muulize zamaladi mtoto wake baba ni nani hakuna jibu..... mpaka chet cha mtoto kaandikwa ubini wa mama.

Cloud ni wazuri, tatizo ni kujifanya wanajua kila kitu.....
 
we Kalou.. unakiri clouds wanyonyaji na unakiri malalamiko ya jd ni unyonyaji wao.. sasa unafki wake upo wapi?
 
Mnafki wewe,huna hata haya!!jde kasaidiwa nin na clouds?unaujua msaada wewe?mara ya mwisho kumuona Jde kwenye matamasha yanayoandaliwa na Clouds ni lin?kwanin haujajiuliza kwanin?!!umetumwa wewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

acheni kubishana na firuani mwenzenu anajaza thread anatma msg kwa mavwana zake anatumiwa doller za simu yuko kazini mpoteezeen
 
mtu akianza kuonesha mafanikio watu lazima waibue vikwazo.....Bravooooo JaY D!!##ww songa mbele na harakati zako
 
We kalou hujui unachosema kwani unaji- contradict mwenyewe, kwa hiyo wewe hutaki alalamike? Unataka akae kimya eti alikuwa wapi? Ameamua leo kusema so..? Sasa kama unakubali clouds ni wanyonyaji unafiki wa lady Jd upo wapi?? Hao wahindi nao utakuja muda wake
 
Ametumwa huyo mkuu
 
Mkuu ni yakweli zamaradi kaliwa na jamaa mpaka katotoa? Au jide nae alitaka kuliwa nini maana du!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu Jide alikuwa room moja na Ruge kwenye Kora sauzi (mwaka sikumbuki). Kama hakuliwa basi nadhan ugomvi ulianzia huko. Ruge bila kugusishana nae vikojoleo kama jinsia zimetofautiana, hufanikiwi kimuziki. Kama una mashaka na manen yangu kafanye uchunguzi mdogo pale THT kwa wadogo zetu wa kike. Hivi ulishawahi kumuona au kumsikia girlfriend wa Ruge hapa Dar?
 
we Kalou.. unakiri clouds wanyonyaji na unakiri malalamiko ya jd ni unyonyaji wao.. sasa unafki wake upo wapi?

why now? Kwa nini sio mwaka juzi, au sababu mwaka juzi walikuwa wanapiga nyimbo zake?
 
We kalou hujui unachosema kwani unaji- contradict mwenyewe, kwa hiyo wewe hutaki alalamike? Unataka akae kimya eti alikuwa wapi? Ameamua leo kusema so..? Sasa kama unakubali clouds ni wanyonyaji unafiki wa lady Jd upo wapi?? Hao wahindi nao utakuja muda wake

kwa nini achague malalamiko .?sugu alipokuwa analalamika alisema kila kitu, kuanzia clouds,wahindi mpaka makampuni ya simu
 
hili ni jibu la jide kuhusu harakati za sugu via twitter.
"Usinitishe tafadhali, Sugu ni Sugu na mimi
ni Jide do not compare kila mtu
anajua maumivu yake.
Usilazimishe umoja wa wasanii"
hapa unaona kuna kitu kichwani kweli.
 
Lazima utakuwa umetumwa wewe unafiki wa JD ni upi sasa ndio alikuwa na clouds lakini baada ya kuona ananyonywa kaamua kuachana na ninyi unafiki upo wapi. Ndugu mtoa mada acha usenge wasanii wananyonywa sana ruge mutahaba, joseph kusaga kila mtu analijua hilo manina zenu. BIG UP JD tutakusupport tanzania bila clouds inawezekana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sijawahi kujua kumbe huyu Dada ni kilaza hivi! How on earth could you write this???
 
Wamemzibiaje lakini? Na kuna ushahidi gani kwamba wamemzibia? Na kwani Clouds wao ndo wamiliki na wahodhi wa riziki zote za burudani Tanzania nzima hadi kuweza kumzibia msanii kama yeye au hata mwingine?
Mkuu mbona umecoment kama chekechea ! Hawa jamaa wanajifanya magodfather, wanasiliba. Kima mahali kwa kutumia influence yao. Mfano kama wanamjua mshikaji fulani wa airtel anayetoa udhamini, wanaenda kulobby afute udhamini !
 
Kuna ushahidi wa wao kusiliba zaidi ya maneno tu ya watu?

Kuna mshkaji yeyote kwenye kampuni yoyote ile anayetoa udhamini ambaye walim-lobby akafuta udhamini?
 
Back
Top Bottom