babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hiyo Sasa ndio akiliQumamae zao hawa wasouth. Watanzania tusikubali. Nasisi tuanze kuwaua hawa mashoga wa South. Watoto wa kino anzeni na yule.msouth anaeishi hapo Mkwajuni.
Wameshasahau kuwa nao walikuwa wageni na wakimbizi kwenye nchi nyingine.Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .
Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.
Acha uongo!Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Kuishi SA Bora Somalia au kukaa kikao pamoja na Shetani utamshinda kwa maombi. Ila SA ni balaa.Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Unauhakika gani hana documents, au tu kwakua wewe ni mjinga na ni rahisi kuhamasika na habari za mitandaoni?Mkienda muende na Documents, kuzamia kutawaua vijana wengi
Well said... Na Serikali inajua Hilo kwamba siku Wageni wote wakiamua kuondoka, Uchumi wa South Africa upo Matatizoni, ndo maana huoni Matamko ya Viongozi wa juu wa Serikili kwenye issue kama hii....!Jamii ya kusini mwa Africa wanaugua ugonjwa wa uvivu na wivu aka unyumbuphobia. Wakiondoka wageni wote hiyo nchi itakuwa ni useless uchumi utaanguka vibaya sana kwasababu wageni ndio kama oxygen huko kwao. Mefi hao.
Watanzania wengi Passport zao Zime expire Kwa maana ya 90 free Visa, kuliko kubeba Passport ambayo itaonyesha Ume over stay, wengi wanaamua tu kutembea huku wakiacha Passport zao Maghetoni.Unauhakika gani hana documents, au tu kwakua wewe ni mjinga na ni rahisi kuhamasika na habari za mitandaoni?
Uhamiaji haramu sawa ni kosa ila wanachofanya South Africa ni unyama na inaonesha uhalisia wa ngozi nyeusi.Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Kwa hiyo unataka kusema kwamba CCM iliwasaidia Watu weusi wa Afrika Kusini ili kujitengenezea Mazingira ya watu wao kutoka Tanzania kuweza kwenda huko kwa ajili ya kufanya uhalifu??Hawa jamaa tumewasaidia sana ila hawana shukran na mzee Mandela ameelezea kwenye kitabu chake cha LONG WALK TO FREEDOM ameitaja tanganyika ameitaja mbeya amemtaja mwalimu nyerere na baadhi ya viongozi wa Tanzania walivyomsaidia ila hawana shukran wazungu hawaguswi ila wenzao weusi ndio wanawachakaza.
Usitoke povu la bure ndugu bali washauri vijana wafuate taratibu wanapoingia ktk nchi za watu. Hata sisi tunawakamata sana waethiopia na kuwarudisha kwao.Tofauti yetu na wasouth ni kwamba sisi hatuwapigi wahamiaji haramu. Tunashughulika nao kisheria zaidi.
Mbona wazungu hawavamii wageni, hao weusi ni wahuni tuu wameona fursa ya kupora wageni tuu, acha vyombo vya serikali sio hao wahuni ambao hata kazi wakipewa hawafanyi, na ukweli wageni wengi south ni vijana maskini wanaojifanyia biashara zao na umachinga, hawajaajiriwa kwenye makampuni yao, weusi ni wapumbavu sanaSiungi mkono kinachowatokea ndugu zetu hasa kupigwa, lakini iko wazi kuwa wimbi la wahamiaji haramu linatishia ukosekanaji wa fursa za kazi kwa wenyeji. Na kwakweli tatizo hili ni kubwa South Africa.
Wanampiga huyo jamaa kwa sababu mgeni tuu bila vibali au kuna kitu kafanya?Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Wanampiga huyo jamaa kwa sababu mgeni tuu bila vibali au kuna kitu kafanya?
Siyo siri, watu weusi wengi ambao ni Wahamiaji nchini Afrika ya Kusini wengi wao ni wahalifu. Tabia hizi za uhalifu wanazo pia raia weusi wa nchi hiyo.Ubaguzi, mtu mweusi hampendi mweusi. Huwezi kuta mweusi anampiga mzungu, mchina au muhindi.
Sisi miafrika ni mijinga sana.