pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Nop namaanisha watumie utaratibu hata kama ni kitu sahihi wanafanya.Kwa hiyo unataka kusema kwamba CCM iliwasaidia Watu weusi wa Afrika Kusini ili kujitengenezea Mazingira ya watu wao kutoka Tanzania kuweza kwenda huko kwa ajili ya kufanya uhalifu??