Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

Mwanamke ndie shetani mwenyewe!
 
Hata kama ni mtoto wa billionaire aachike tu. Siwezi kulea watoto ambao sio wangu kwa muda wote ule alafu nitaendelea kuishi na mwanamke pretending everything is normal and we are happy.
Hapo nilikuwa nime_comment kuhusu ishu ya pesa. Kuwa huyo sio mshanba wa pesa.
 
Ndiyo maana mimi nilipima DNA watoto wangu wote kabla ya kumjengea nyumba mke wangu kwao. Nakataa kabisa kuwa siwezi na sitaki kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu na siku nikigundua mke wangu anachapwa na mtu mwingine ndiyo mwisho wa ndoa yetu.

DNA ukipima Tanzania lazima utaambiwa mtoto ni wako.

Serikali haitaki mtoto akataliwe. Hata mkeo akizaa mzungu bado ukienda kupima DNA tanzania unaambiwa mtoto ni wako baba
 
DNA ukipima Tanzania lazima utaambiwa mtoto ni wako.

Serikali haitaki mtoto akataliwe. Hata mkeo akizaa mzungu bado ukienda kupima DNA tanzania unaambiwa mtoto ni wako baba
 
Kuzaa haijawahi kuwa kosa popote
Ku-cheat ndio KOSA.
Unaposema kuchapiwa sio unaweza kusamehewa hujui chanzo cha ku-cheat ndio Mtoto
 
Ndiyo maana mimi nilipima DNA watoto wangu wote kabla ya kumjengea nyumba mke wangu kwao. Nakataa kabisa kuwa siwezi na sitaki kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu na siku nikigundua mke wangu anachapwa na mtu mwingine ndiyo mwisho wa ndoa yetu.
Hakuna mke asiyechapwa nje. Mark my words. Ni kwamba tu haujui ila hakuna
 
Unaweza ukaua baadae ukajutia wanawake ni wakuishi nao kwa akili nyingi hawa viumbe hawana huruma na wanaume kabisa.
 
Wewe unasema cheating inasemeheka, right. Logic yangu kuna cheating halafu kuna cheating mpaka kuzaa nje.
Hivi ni vitu viwili tofauti. Mmoja lina possibility ya kusameheka the rest cant be

Wewe ndio uliyesema cheating inasameheka, lakini kuzaa nje huwezi samehe. Hicho ndio kimenifanya nime-reply comment yako.

Kwa hiyo kwako mkeo aendelee ku-cheat ila asizae nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…