El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
walizingua sana.ndio wajifunze wakati mwingineNa ile kimila ni laana kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walizingua sana.ndio wajifunze wakati mwingineNa ile kimila ni laana kubwa sana
Mshana umesahau usemi wako wa Mungu ibariki CHADEMA au umesahau umuhimu wa hiyo sentensi.Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.
Arobaini nadhani haitumiki kama namba. Ndiyo maana, wengine baada ya kumzika marehemu, inaweza kupita hata miezi mitatu. Wanapoenda kujengea kaburi la marehemu, bado wanasema wanaenda kwenye arobaini ya marehemu.Sijaelewa hii habari, mleta uzi hivi Huu tulionao ni mwezi gani? maana habari yako naona Arobaini ni mwezi wa tatu.
DuhKwani asiende kugombea Tukuyu kwa baba yake mzazi
Nape kalewa madarakaKama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini Rondo-Chiponda.
Taarifa kutoka Rondo zinaeleza kwamba Nape ameitisha mkutano wa dharura wa hadhara hapa hapa Chiponda mita kadhaa kutoka nyumba ya Membe ambapo hadi ninaleta Uzi huu vijana wanapita na vipaza sauti kualika watu.
Aidha, imeelezwa kwamba Nape anatarajia kutumia mkutano huo "kuwajibu" wananchi wa Mtama kuhusu madai na malalamiko ya kuwadharau, kuwapuuza katika mambo ya maendeleo.
Kwa taratibu za Wamwera siku moja kabla ya shughuli ya 40 machifu hukutana "kufanya yao" na kwamba Nape amepanga kuvamia kikao hicho cha machifu.
Mmoja wa wanafamilia ya Membe amesema, "kama familia tuna wasiwasi sana na Mpango huu wa Mbunge wetu Nape wa kutaka kuvuruga shughuli hii ya kifamilia kesho na hata wazee wameanza kuingiwa hofu ya kushughulikiwa kwa kauli za mara kwa za kumkataa Nape kuwa arudi kwao Misungwi Mwanza kwa mama yake mzazi".
Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.
My take: Usalama wa Jeshi la Polisi katika tukio hilo ni muhimu sana Toka sasa Hadi kesho na siku zote.
Kabisa damu yetu hii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nape kwao Mbeya,Mtama anafanya nini ?.
Sijakuelewa. Mleta uzi anasema Arobaini ni Kesho tarehe 26/3/2023 kwa hiyo hiyo tarehe ni namba tu. nisije kuchanganya kumbe uzi umefufuliwa ni wa siku nyingiArobaini nadhani haitumiki kama namba. Ndiyo maana, wengine baada ya kumzika marehemu, inaweza kupita hata miezi mitatu. Wanapoenda kujengea kaburi la marehemu, bado wanasema wanaenda kwenye arobaini ya marehemu.
Ni sawa na ule msemo wa, 'za mwizi arobaini', haina uhusiano na namba 40.
Kwenye biblia (japo hii haina uhusiano na hiki kinachoitwa arobaini ya marehemu), arobaini ni namba inayoashiria ukamilifu.
Wayahudi walisafiri jangwani kwa miaka AROBAINI, Yesu alifunga kwa siku AROBAINI. Wayahudi walimsubiri masiha kwa miaka elfu AROBAINI.
Acha kuwa mjinga na mpumbavu.... Samia mbona mzanzibar anatuongoza watanganyika wapumbavu km wewe?.Nape kwao Mbeya,Mtama anafanya nini ?.
Mwandosya eeeh?Kwani asiende kugombea Tukuyu kwa baba yake mzazi
Nafikiri yote mawiliLengo lako ni kutupa hii habari kuwa wananchi hawampendi au lengo ni kutuambia kuwa mama yake yupo Misungwi?
Hizi habari za kumhusisha Prof Mwandosya na Nape Nnauye hazina ukweli. Nape kuzaliwa mwaka 1978. Mwaka 1978 Prof Mwandosya alikuwa Lecturer UDSM baada ya kurudi kutoka England alikokuwa anasoma.Kwani asiende kugombea Tukuyu kwa baba yake mzazi
Kwasababu hatujielewi.Acha kuwa mjinga na mpumbavu.... Samia mbona mzanzibar anatuongoza watanganyika wapumbavu km wewe?.
UzushiKama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini Rondo-Chiponda.
Taarifa kutoka Rondo zinaeleza kwamba Nape ameitisha mkutano wa dharura wa hadhara hapa hapa Chiponda mita kadhaa kutoka nyumba ya Membe ambapo hadi ninaleta Uzi huu vijana wanapita na vipaza sauti kualika watu.
Aidha, imeelezwa kwamba Nape anatarajia kutumia mkutano huo "kuwajibu" wananchi wa Mtama kuhusu madai na malalamiko ya kuwadharau, kuwapuuza katika mambo ya maendeleo.
Kwa taratibu za Wamwera siku moja kabla ya shughuli ya 40 machifu hukutana "kufanya yao" na kwamba Nape amepanga kuvamia kikao hicho cha machifu.
Mmoja wa wanafamilia ya Membe amesema, "kama familia tuna wasiwasi sana na Mpango huu wa Mbunge wetu Nape wa kutaka kuvuruga shughuli hii ya kifamilia kesho na hata wazee wameanza kuingiwa hofu ya kushughulikiwa kwa kauli za mara kwa za kumkataa Nape kuwa arudi kwao Misungwi Mwanza kwa mama yake mzazi".
Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.
My take: Usalama wa Jeshi la Polisi katika tukio hilo ni muhimu sana Toka sasa Hadi kesho na siku zote.
Acha ujinga huyu alikuja na Mama yake.Hizi habari za kumhusisha Prof Mwandosya na Nape Nnauye hazina ukweli. Nape kuzaliwa mwaka 1978. Mwaka 1978 Prof Mwandosya alikuwa Lecturer UDSM baada ya kurudi kutoka England alikokuwa anasoma.
Ni NNAPELEPE NNAUYE.
NNAUYE = MSIRUDI Kimakonde
NNAPELEPE - Ntauliza ila ni Kimakonde Pure.
Nape na Mwandosya hawana uhusiano wowote ni kashfa tu ambazo mara nyingi hudandiwa na wapinzani.
Nape amefanana na Mzee Nnauye kwa kila kitu.View attachment 2728293
Pole Nape naona wanakusingizia sana kuwa wewe ni mtoto wa Tukuyu kwa Mwandosya.Hizi habari za kumhusisha Prof Mwandosya na Nape Nnauye hazina ukweli. Nape kuzaliwa mwaka 1978. Mwaka 1978 Prof Mwandosya alikuwa Lecturer UDSM baada ya kurudi kutoka England alikokuwa anasoma.
Ni NNAPELEPE NNAUYE.
NNAUYE = MSIRUDI Kimakonde
NNAPELEPE - Ntauliza ila ni Kimakonde Pure.
Nape na Mwandosya hawana uhusiano wowote ni kashfa tu ambazo mara nyingi hudandiwa na wapinzani.
Nape amefanana na Mzee Nnauye kwa kila kitu.View attachment 2728293
Alikuja wapi na mama yake?Acha ujinga huyu alikuja na Mama yake.
Ila chadema mnakuwaga na ujinga sana.Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini Rondo-Chiponda.