Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

Asante kwa kutuelewesha lakini nina swali moja,ilikuwaje kwenye kumbukumbuku ya mwaka mmoja wa kifo cha Mzee Nnauye,watoto wote wa Marehemu walitoa tangazo la shukrani na wakajiorodhesha majina yao na Nape hakuwemo? Je ilikuwa ni bahati mbaya tu kwa wenzie kuacha kumweka kwa ile list.Lile tangazo lilitoka kwa gazeti moja na kipindi hicho liliibua mjadala mzito sana hapa JF.
Nape ni mtoto wa nje wa Mzee Moses Nnauye (RIP), kwa familia za Kiafrika au Kitanzania kumtenga mtoto wa nje ni kitu cha kawaida sana.
 
Pole Nape naona wanakusingizia sana kuwa wewe ni mtoto wa Tukuyu kwa Mwandosya.
Wale wote wenye kusingizia vitu vibaya watu wengine kwa nia ya kuwakashifu na kuharibu image zao nao watalipwa vivyo Hivyo mara kumi zaidi kabla hawajatwaliwa na Muumba !!
Hii ni ahadi yake Muumba !!
Ndio Wanyamwezi wakasema what goes around comes around !! Karma !!
 
Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini Rondo-Chiponda.

Taarifa kutoka Rondo zinaeleza kwamba Nape ameitisha mkutano wa dharura wa hadhara hapa hapa Chiponda mita kadhaa kutoka nyumba ya Membe ambapo hadi ninaleta Uzi huu vijana wanapita na vipaza sauti kualika watu.

Aidha, imeelezwa kwamba Nape anatarajia kutumia mkutano huo "kuwajibu" wananchi wa Mtama kuhusu madai na malalamiko ya kuwadharau, kuwapuuza katika mambo ya maendeleo.

Kwa taratibu za Wamwera siku moja kabla ya shughuli ya 40 machifu hukutana "kufanya yao" na kwamba Nape amepanga kuvamia kikao hicho cha machifu.

Mmoja wa wanafamilia ya Membe amesema, "kama familia tuna wasiwasi sana na Mpango huu wa Mbunge wetu Nape wa kutaka kuvuruga shughuli hii ya kifamilia kesho na hata wazee wameanza kuingiwa hofu ya kushughulikiwa kwa kauli za mara kwa za kumkataa Nape kuwa arudi kwao Misungwi Mwanza kwa mama yake mzazi".

Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.

My take: Usalama wa Jeshi la Polisi katika tukio hilo ni muhimu sana Toka sasa Hadi kesho na siku zote.
Umbea na majungu unayaweza, si haba.
 
Habari hizi ni za uzushi mkuu, Nape kipenzi cha wana Mtama, Nape huyu ambaye baada ya kuondolewa wadhifa wa uwaziri na mwendazake, mama, dada,bibi zenu walilala chali Nape akapita juu ya makalio yao kuonyesha upande kwa mtoto wao leo hii unasema wana Mtama wanamtaka arudi Misungwi? huu ni uongo lazima wewe utakuwa chawa wa Stephen Membe au ndie Stephen Membe mwenyewe. Narudia tena Nape hang'oki Mtama, huyo nae sana.
 
Siasa za Tanzania bwana ..Juzi nilimuona mbunge wa Chalinze akihutubia wananchi na kuwaambia kwamba China itajenga stadium ya mpira ya kisasa chalinze kwa msaada. Kinachonishangaza ni kwamba huo msaada wa China mbona haukupita serikali kuu umepelekwa moja kwa moja jimboni
 
Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini Rondo-Chiponda.

Taarifa kutoka Rondo zinaeleza kwamba Nape ameitisha mkutano wa dharura wa hadhara hapa hapa Chiponda mita kadhaa kutoka nyumba ya Membe ambapo hadi ninaleta Uzi huu vijana wanapita na vipaza sauti kualika watu.

Aidha, imeelezwa kwamba Nape anatarajia kutumia mkutano huo "kuwajibu" wananchi wa Mtama kuhusu madai na malalamiko ya kuwadharau, kuwapuuza katika mambo ya maendeleo.

Kwa taratibu za Wamwera siku moja kabla ya shughuli ya 40 machifu hukutana "kufanya yao" na kwamba Nape amepanga kuvamia kikao hicho cha machifu.

Mmoja wa wanafamilia ya Membe amesema, "kama familia tuna wasiwasi sana na Mpango huu wa Mbunge wetu Nape wa kutaka kuvuruga shughuli hii ya kifamilia kesho na hata wazee wameanza kuingiwa hofu ya kushughulikiwa kwa kauli za mara kwa za kumkataa Nape kuwa arudi kwao Misungwi Mwanza kwa mama yake mzazi".

Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.

My take: Usalama wa Jeshi la Polisi katika tukio hilo ni muhimu sana Toka sasa Hadi kesho na siku zote.
Anavuna alichopanda na bado sana kama hatotubu ktk kaburi la hayati
 
JamiiForums-787880945.jpg
 
Back
Top Bottom