Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

Duru za siasa Mtama zinadai kwamba Nape anamhofia mdogo wa marehemu Stephen Membe anayedaiwa kutaka kutwaa hilo Jimbo kupitia CHADEMA ambapo tayari amejiunga na chama hicho.
Mshana umesahau usemi wako wa Mungu ibariki CHADEMA au umesahau umuhimu wa hiyo sentensi.
 
Sijaelewa hii habari, mleta uzi hivi Huu tulionao ni mwezi gani? maana habari yako naona Arobaini ni mwezi wa tatu.
Arobaini nadhani haitumiki kama namba. Ndiyo maana, wengine baada ya kumzika marehemu, inaweza kupita hata miezi mitatu. Wanapoenda kujengea kaburi la marehemu, bado wanasema wanaenda kwenye arobaini ya marehemu.

Ni sawa na ule msemo wa, 'za mwizi arobaini', haina uhusiano na namba 40.

Kwenye biblia (japo hii haina uhusiano na hiki kinachoitwa arobaini ya marehemu), arobaini ni namba inayoashiria ukamilifu.

Wayahudi walisafiri jangwani kwa miaka AROBAINI, Yesu alifunga kwa siku AROBAINI. Wayahudi walimsubiri masiha kwa miaka elfu AROBAINI.
 
Nape kalewa madaraka
 
Sijakuelewa. Mleta uzi anasema Arobaini ni Kesho tarehe 26/3/2023 kwa hiyo hiyo tarehe ni namba tu. nisije kuchanganya kumbe uzi umefufuliwa ni wa siku nyingi
 
Kwani asiende kugombea Tukuyu kwa baba yake mzazi
Hizi habari za kumhusisha Prof Mwandosya na Nape Nnauye hazina ukweli. Nape kuzaliwa mwaka 1978. Mwaka 1978 Prof Mwandosya alikuwa Lecturer UDSM baada ya kurudi kutoka England alikokuwa anasoma.

Ni NNAPELEPE NNAUYE.
NNAUYE = MSIRUDI Kimakonde
NNAPELEPE - Ntauliza ila ni Kimakonde Pure.

Nape na Mwandosya hawana uhusiano wowote ni kashfa tu ambazo mara nyingi hudandiwa na wapinzani.

Nape amefanana na Mzee Nnauye kwa kila kitu.
 
Uzushi
 
Acha ujinga huyu alikuja na Mama yake.
 
Pole Nape naona wanakusingizia sana kuwa wewe ni mtoto wa Tukuyu kwa Mwandosya.
 
Ila chadema mnakuwaga na ujinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…