Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

Huyo mtoto arudi kwao Busokelo Mbeya hiyo ardhi siyo ya baba yake imemkataa!!
 
Asili ya mama mzazi wa Nape ni mkoa wa Singida.

Yeye ni Mnyiramba.
Baba mzazi wa Nape ni Moses Nnauye (marehemu) ambaye alistaafu utumishi wa umma akiwa Brigedia Jenerali wa Jeshi.

Asili ya baba yake Nape ni mkoa wa Lindi, yeye ni Mmakonde wa Chiuta, Nyangamara. Mzee Nnauye ni mmoja kati ya wanasiasa mashuhuri wa kizazi kinachoondoka, kazi yake ya kwanza ilikuwa ni “ukuli” wa bandari ya Lindi na Mtwara. Baadaye alisoma kidogo na kushiriki kwenye harakati za kudai uhuru akiwa kijana mdogo na baada ya Uhuru alikuwa kiongozi wa Umoja wa Vijana wa Tanu.

Sasa Wale wazee wa kule Chiponda wanayo haki ya kumkataa Nape sababu sio mkazi wa Chiponda.
Amezaliwa Singida na kukulia huko pamoja na Mwanza.
 
Lengo lako ni kutupa hii habari kuwa wananchi hawampendi au lengo ni kutuambia kuwa mama yake yupo Misungwi?
Asili ya mama mzazi wa Nape ni mkoa wa Singida, yeye ni Mnyiramba.
Baba mzazi wa Nape ni Moses Nnauye (marehemu) ambaye alistaafu utumishi wa umma akiwa Brigedia Jenerali wa Jeshi. Asili ya baba yake Nape ni mkoa wa Lindi, yeye ni Mmakonde wa Chiuta, Nyangamara. Mzee Nnauye ni mmoja kati ya wanasiasa mashuhuri wa kizazi kinachoondoka, kazi yake ya kwanza ilikuwa ni “ukuli” wa bandari ya Lindi na Mtwara. Baadaye alisoma kidogo na kushiriki kwenye harakati za kudai uhuru akiwa kijana mdogo na baada ya Uhuru alikuwa kiongozi wa Umoja wa Vijana wa Tanu.
 
Umepotosha sana! Mzee Nnauye hakuwahi kuzaa mtoto aina ya Nape! Nape babake kwao Busokelo.
 
Nape ni kifupi cha neno Nnapelepe na hana uhusiano wowote na Tukuyu, ni mmakonde Pure tena kutoka Wilaya ya Tandahimba, Zamani eneo alilotokea ilikuwa wilaya ya Newala. Mzee Nnauye ni Mmakonde pure, na hayo majina yote ni Kimakonde tena cha Newala.

Chuki kama hizi haziwezi kuleta nafuu yenu ya Maisha.
 
Hatakiwi huko akagombee Tukuyu au Singida
Mbeya hatuna Jimbo la Tukuyu. Huu ndiyo upuuuzi unaoendelea unaoasisiwa na watu wenye nia ovu ya kuipasua nchi hii vipandevipande.
Sidhani kama Sheria za Tanzania zinaubagizi kwenye Uchaguzi kwa ngazi ya Ubunge na Urais ispokuwa inatakiwa uwe Mkazi wa Eneo husika. Mfano Mbunge wa Kawe siyo Mzaramo wala Mkwere, Waitara alivyokuwa Chadema siyo mkazi wa Mbagala lakini alishinda Jimbo n.K.
NB: Tunakoelekea tutaanza kulizana siyo Ukoo tu bali hata Kabila
 
Nilikwisha kuambieni kuwa Nape hawezi kushindana na TEC.
Sasa mwanzo huu si mzuri!
 
Asante kwa kutuelewesha lakini nina swali moja,ilikuwaje kwenye kumbukumbuku ya mwaka mmoja wa kifo cha Mzee Nnauye,watoto wote wa Marehemu walitoa tangazo la shukrani na wakajiorodhesha majina yao na Nape hakuwemo? Je ilikuwa ni bahati mbaya tu kwa wenzie kuacha kumweka kwa ile list.Lile tangazo lilitoka kwa gazeti moja na kipindi hicho liliibua mjadala mzito sana hapa JF.
 
Life begins at 40
 
Lengo lako ni kutupa hii habari kuwa wananchi hawampendi au lengo ni kutuambia kuwa mama yake yupo Misungwi?

Ety akagombeee kwa mama ake huko misungwi [emoji82]
Hawa chawa wa chadema hawajifunzi tuh kua masuala ya ubaguzi yanaleta mpasuko
Walianza kumsema mama arudi pemba
Leo nape arudi msumbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…