Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

Nape ni mtoto wa nje wa Mzee Moses Nnauye (RIP), kwa familia za Kiafrika au Kitanzania kumtenga mtoto wa nje ni kitu cha kawaida sana.
 
Pole Nape naona wanakusingizia sana kuwa wewe ni mtoto wa Tukuyu kwa Mwandosya.
Wale wote wenye kusingizia vitu vibaya watu wengine kwa nia ya kuwakashifu na kuharibu image zao nao watalipwa vivyo Hivyo mara kumi zaidi kabla hawajatwaliwa na Muumba !!
Hii ni ahadi yake Muumba !!
Ndio Wanyamwezi wakasema what goes around comes around !! Karma !!
 
Umbea na majungu unayaweza, si haba.
 
Habari hizi ni za uzushi mkuu, Nape kipenzi cha wana Mtama, Nape huyu ambaye baada ya kuondolewa wadhifa wa uwaziri na mwendazake, mama, dada,bibi zenu walilala chali Nape akapita juu ya makalio yao kuonyesha upande kwa mtoto wao leo hii unasema wana Mtama wanamtaka arudi Misungwi? huu ni uongo lazima wewe utakuwa chawa wa Stephen Membe au ndie Stephen Membe mwenyewe. Narudia tena Nape hang'oki Mtama, huyo nae sana.
 
Siasa za Tanzania bwana ..Juzi nilimuona mbunge wa Chalinze akihutubia wananchi na kuwaambia kwamba China itajenga stadium ya mpira ya kisasa chalinze kwa msaada. Kinachonishangaza ni kwamba huo msaada wa China mbona haukupita serikali kuu umepelekwa moja kwa moja jimboni
 
Anavuna alichopanda na bado sana kama hatotubu ktk kaburi la hayati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…