Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ulihitaji aseme neno gani ndio ajue kamdhalilisha.? Kapost pic yupo na mama ake halafu anasema yeye ndie baba ake. Hebu jifikirishe mwenyewe.HV unajua maana ya kidhalilishwa mkuu?? Kuna lugha yoyote ya udhalilishaji ommy katumia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu numbisa katika makatuni wangu wa hapa JF ww namba moja.
I like you
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mange kiboko yao.... tchaaaaa
ukisikia ubuyu first class ndio huu
hata shigongo anasubiri aisee
I am speechless kwa kweli
Wife to be unakasirika kisa mondi seriously?Shosti kumbe ndo walikufanyia hivyo aiseee
We hujielewi kabisa mwanamke akishaingia leba tayar ni mamaHuyo Hamisa Mobeto naye kawa mama? Awatunze watoto wafikie umri alionao kina Diamond ndio tutaelewa kweli ni mama. Ndio maana nasema siyo kila mwanamke anaweza kua mama.
Sasa kama alitembea nae kweli Kuna ubaya gani kuujulisha umma??Ulihitaji aseme neno gani ndio ajue kamdhalilisha.? Kapost pic yupo na mama ake halafu anasema yeye ndie baba ake. Hebu jifikirishe mwenyewe.
Uwiiiiii eti barua yangu kwa mwanangu malikia wa nguvu
Wife to be unakasirika kisa mondi seriously?
Ile siku uliyonipa Tigo
Mbona unajikataa umesahau hiyo cku ulivyonipa vitu adimuOoh awesome Dada yako mzuri,usijali atapata tu mchumba huyo
Mbona unajikataa umesahau hiyo cku ulivyonipa vitu adimu
Ni lako ilo nashanga unavyolikataa wakati nimelibambia kwa sanaMmh jomon unamkana ndugu yako huyo,cheki wezele mtoto anaita asalaleeeee
mond mswahili wacha apewe za usoMtoto wa kiume akishaanza kuandika maneno ya kijinga yanayotumiwa na wanawake waliokosa stara ambayo hata wanawake wanaojitambua hawawezi kuyatumia huwa naanza kuwa na wasiwasi nae...mwanaume utamke “umenichamb*" hadharani sio ushoga huo?
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Ni lako ilo nashanga unavyolikataa wakati nimelibambia kwa sana
Mm na ww undugu umetoka wapi?Ayaaaaa kumbe huwa unabambia ndugu zako na hako ka bamia uwiiiii
Hio inaitwa akikupiga ngumi ya sikio wewe unampiga ngumi ya jicho dai nae kazidi anataka kujiona yeye ndio yuko ya wenzio sasa atatulia aise sio kwa jibu hilo.yule Meneja wake ndio wale wale tu anashindwa kumshauri msanii wake aache kuimba taarabu yeye anashangilia tu kwa ili konzi alilopigwa heshima itakuwepo sasa hivi