Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

4c28c5a7505654ee1c16f0b809df7e03.jpg
43434bc38364df1ebe6cdi3c0cabffecd.jpg


Jionee wenyewe mambo yamenogaa[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiiii eti barua yangu kwa mwanangu malikia wa nguvu
 
Mtoto wa kiume akishaanza kuandika maneno ya kijinga yanayotumiwa na wanawake waliokosa stara ambayo hata wanawake wanaojitambua hawawezi kuyatumia huwa naanza kuwa na wasiwasi nae...mwanaume utamke “umenichamb*" hadharani sio ushoga huo?

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
mond mswahili wacha apewe za uso
 
Mkuu umenifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio inaitwa akikupiga ngumi ya sikio wewe unampiga ngumi ya jicho dai nae kazidi anataka kujiona yeye ndio yuko ya wenzio sasa atatulia aise sio kwa jibu hilo.yule Meneja wake ndio wale wale tu anashindwa kumshauri msanii wake aache kuimba taarabu yeye anashangilia tu kwa ili konzi alilopigwa heshima itakuwepo sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom