Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

japo si vizuri kumuhusisha bimkubwa ila mond hajafanya poa kabisa mbona mambo yalishatulia kabisa tushasahau yeye kafukua makaburi ,wacha wamnyee tu

Madaraka ya kulevya
 
Shemeji yetu ndyo bmkubwa wenu sa unafikiri angemuonyesha kizembe ivyo?
Na wakati anampenda na kutoka moyoni
Amna jamaa kapanik. Ila ukweli unauma na ndio maana kafika mbali ivyo. Yan mwanaume kweli haweki wazi yeye kaamua kuweka wazi. Lile punga lazima kuna waarabu wanapakua. Ukweli umemuingia lazima atakuja kujilaumu tu
 
Yan lazima atakuja kujilaumu baadae
 
Kumbe na wewe unamwagaga povu demu wa Bashite, Diamond kamwaga mboga mwache Ommy amwage ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo amezidi

Anapenda kudhalilisha wenzie kisa apate kiki

Pole kwa mzazi wake (sijui huwa anamkanya????)

Siungi mkono alivhokifanya ommy ila hiki kiranga domo kakitafuta mwenyewe

Amelikoroga alinywe
Katukana hamisssaaaa watu wameshangilia
Hamisa kwani sio mzazi?!!!
This is the power of KARMA na badooo

My own brand!!
 
Ommy Dimpoz amepatia kabisa,

Hapa panapowauma ndiyo Dimpoz anapagonga zaidi muumie vizuri, kupambana kiume ni kupambana kwa kutumia maneno yoyote regardless yanamuhusu nani cha msingi yamuumize unayepambana naye hadi akome kufungua mdomo.
 
Waaow dah kumbe hata rafiki yako anaweza fanya kama ommy na ukachekelea aisee
Shemeji yetu ndyo bmkubwa wenu sa unafikiri angemuonyesha kizembe ivyo?
Na wakati anampenda na kutoka moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…