Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Hahahaa una uchuki kali kwa dai,wivu kisa ana mafanikio?tell kiba atoe wimbo mpya
Haya umeenda studio unerokodi vijembe kwa mwenzako amekujibu tu twitter umepanic umerudi tena studio umerekodi diss nyingine umejibiwa kwenye insta sasa ukoo mzima umepanic eti "sio poa kumuhusisha mama"

Yani hapo kwa mama Sandra kukunjwa na Dimpoz ndiyo patamu zaidi kwasababu imeumiza ukoo mzima uliochekelea vijembe alivyoanzisha Diamond kwenye nyimbo.
 
Maskin yaan unatiririka tu jinsi mhenga wako alivyofanyiwa pole sana sergio daah hadi huruma ommy mbaya hadi 071 akamla huku unashuhudia hahahaha
Ommy amempagawisha bimkubwa wa Numbisa ndyo maana hapendi sababu amechepuka na bimkubwa wa chibu
 
Ommy ni mjinga sana, bora angeandika kitu bila kusingizia kwa Mama mtu na kupambana kiume. Ndio maana yupo alivyo ukweli unamuuma huku yeye juzi kajitangaza na vaseline alitegemea nini. Jinga sana hilo, nimeona ametukanwa haswa na watu wengi huku alitegemea kusifiwa. Mfyuuuuu zake
52e0f8b6b2c47ef2eab57339160d0b01.jpg
 
Haya umeenda studio unerokodi vijembe kwa mwenzako amekujibu tu twitter umepanic umerudi tena studio umerekodi diss nyingine umejibiwa kwenye insta sasa ukoo mzima umepanic eti "sio poa kumuhusisha mama"

Yani hapo kwa mama Sandra kukunjwa na Dimpoz ndiyo patamu zaidi kwasababu imeumiza ukoo mzima uliochekelea vijembe alivyoanzisha Diamond kwenye nyimbo.
Acha tu apigwe panapouma maana haya tulishaanza kuyasahau ila kaamua kuyarudisha mwenyew sasa acha tu movie iendelee.... Hamisa alipoambiwa bitch watu walifurahia tu ina maana Hamisa sio mzazi? Ama Sandra ndio mzazi sana kuliko Hamisa? Na kilichomfanya Mondi aanzishe ugomvi ni kitu gani? sasa kama ommy anazo nyingine hata za utupu basi azimwage tu maana hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom