Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Mama wee kumbe mambo makubwa hivi mpaka unalia aisee pole jaman daah nakuonea huruma mkuu cheki unavyotoa povu hahahahaa

Yaan unataman na wewe ungejiungamo na ulivyo kiuno dondola weew ingekuwa kiwanzesa ya nguvu,big mechi
Hakuna kichaka hapo au hujaona picha bimkubwa anavyorembua?

Ommy amempagawisha bimkubwa wa Numbisa ndyo maana hapendi sababu amechepuka na bimkubwa wa chibu
 
Hiyo diss angeijibu kwa wimbo,halafu kwanj cinderella aliyeianzusha ni kiba pekee?mbona kuna nyimbo telw na story za Cinderella kujishtukia bana
Haya umeenda studio unerokodi vijembe kwa mwenzako amekujibu tu twitter umepanic umerudi tena studio umerekodi diss nyingine umejibiwa kwenye insta sasa ukoo mzima umepanic eti "sio poa kumuhusisha mama"

Yani hapo kwa mama Sandra kukunjwa na Dimpoz ndiyo patamu zaidi kwasababu imeumiza ukoo mzima uliochekelea vijembe alivyoanzisha Diamond kwenye nyimbo.
 
Mama wee kumbe mambo makubwa hivi mpaka unalia aisee pole jaman daah nakuonea huruma mkuu cheki unavyotoa povu hahahahaa

Yaan unataman na wewe ungejiungamo na ulivyo kiuno dondola weew ingekuwa kiwanzesa ya nguvu,big mechi
Naona Leo una mwaga OMO
Na bado utaimba hadi NDAGUSHIMA
 
Haya umeenda studio unerokodi vijembe kwa mwenzako amekujibu tu twitter umepanic umerudi tena studio umerekodi diss nyingine umejibiwa kwenye insta sasa ukoo mzima umepanic eti "sio poa kumuhusisha mama"

Yani hapo kwa mama Sandra kukunjwa na Dimpoz ndiyo patamu zaidi kwasababu imeumiza ukoo mzima uliochekelea vijembe alivyoanzisha Diamond kwenye nyimbo.
Wamemtukana hamisa wameshangilia mnooo!!Leo bi Sandra wanapanick pumbaavuu kabisa

My own brand!!
 
Katukana hamisssaaaa watu wameshangilia
Hamisa kwani sio mzazi?!!!
This is the power of KARMA na badooo

My own brand!!
Acha akomeee

Tena ommy amwongezee jingine

Alimtukana sana wema

Akamtukama jokate

Akamdhalilisha na uwoya

Kila mara vijembe kwa kiba

Juzi tu alishusha mijineno na mijipasho kwa zari

Na kumuita hamisa bitch...au bitch sio tusi?

Na hii mara ya pili amentusi ommy..alimuita ommy shoga..au shoga sio tusi

Acha akomeshwe..... Ommy kampa taste of his own medicine analia........ analia nini sasa?

Akomeeeeeeee
 
So dimpoz alikua anakula mzigo wa kwa mama diamond?? Wasanii bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji54]

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Ommy Dimpoz amepatia kabisa,

Hapa panapowauma ndiyo Dimpoz anapagonga zaidi muumie vizuri, kupambana kiume ni kupambana kwa kutumia maneno yoyote regardless yanamuhusu nani cha msingi yamuumize unayepambana naye hadi akome kufungua mdomo.

Ila Domo atakuwa na tatizo la kisaikolojia.....

Anapenda sana kiki za udhalilishaji

Kuna tatizo

Au kuna kitu alipitia alipokuwa mdogo

Si bure
 
Haya umeenda studio unerokodi vijembe kwa mwenzako amekujibu tu twitter umepanic umerudi tena studio umerekodi diss nyingine umejibiwa kwenye insta sasa ukoo mzima umepanic eti "sio poa kumuhusisha mama"

Yani hapo kwa mama Sandra kukunjwa na Dimpoz ndiyo patamu zaidi kwasababu imeumiza ukoo mzima uliochekelea vijembe alivyoanzisha Diamond kwenye nyimbo.
Yaan na leo akatoe taarabu nzima ahahhaaaaa
 
Mtu kapigwa panapouma..hata mimi ukinitukana naweza kutukania mama yako ili twende sawa.
 
Yaan na leo akatoe taarabu nzima ahahhaaaaa
Hahaha na atashusha taarabu

Yaani alitegemea kiba na ommy wapoteze nguvu kumtungia nyimbo imekua taarabu?

Hayo waliyafanya khadija kopa na nasma kidogo (rip)?????

Sasa hivi unapigwa za uso twitter.... anashtuliwa instagram

Akalielie facebook kama anataka

Hahahah
 
Ni gay anajificha kwenye kichaka cha mama wa watu soon yatampata ya kumpata mama yake ili auone uchungu wa kutukana mama za watu
ulshawah kumpa ilo tundu lako akashindwa kulitatua?

vp mama umevurugwa nn au stress?

we unatukania watu mamazao humu af unapinga mama domo kutukanwa...... unajielewa kweli?

try me
 
Back
Top Bottom