Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

20986916_1527008667338313_67751395402448896_n.jpg

Uyo ndyo mama yako?
Hahaa kwa swali hili utachekwa bana mie sio tiffa jomoni
 
wanasababisha washabiki waanze kuutafuta wimbo wa fresh remix kwa nguvu... hawa wa upande huu wange kaa kimya ingetosha...

hapa iliposika Mondi akitoa song watu watakuwa makini kujua kuna nini... kwa sababu ya watu wa upande huu walivyo hamaki....
Ila hii ni fundisho kabisa kwa Mondi apambane mwenyewe tu bila kutafuta pa kutokea nadhan next time vile vipande vya majungu havitakuja tena sijui WE UKIPOST TEMBO SIE TUNAPOST SHOO ndugu zake wanachekelea Leo limerudishwa wanatafutana
 
Duh langu jicho.............Wanaume kusutana ahhhhh fresh kila kitu fresh
 
Hahaaaa sasa shosti ukija tutalala mzungu wa nne au maana shughuli huiwezi
usunfananishe na kben10 chako...

mi sio shost ako we kigagula
em pita kuleeeeeee........
ka vp tafta typ yako!!!!

try me
 
Hahaha mhenga ntunzie hayo mapovu ya kufulia nguo weekend
usunfananishe na kben10 chako...

mi sio shost ako we kigagula
em pita kuleeeeeee........
ka vp tafta typ yako!!!!

try me
 
Ommy Dimpoz amepatia kabisa,

Hapa panapowauma ndiyo Dimpoz anapagonga zaidi muumie vizuri, kupambana kiume ni kupambana kwa kutumia maneno yoyote regardless yanamuhusu nani cha msingi yamuumize unayepambana naye hadi akome kufungua mdomo.
Sometimes huwa najiulizaga huyu Domo mbona hakui. Udada si Udada, umama si umama sijui ndio ushamba ama vipi.
Kayaanzisha mwenyewe na ayamalize mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujana maji ya moto kuna umri utafika watajutia haya pia si hekima kutukana wazazi ni kujitafutia laana, mzazi wa mwenzio ni mzazi wako
 
Back
Top Bottom