Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwanini mnalazimisha ajibu kwa nyimbo kwani kunasehemu mlikaanao mkakubaliana wawe wanajibizana kwa nyimbo????Hiyo diss angeijibu kwa wimbo,halafu kwanj cinderella aliyeianzusha ni kiba pekee?mbona kuna nyimbo telw na story za Cinderella kujishtukia bana
Diss inajibiwa popote ili mradi ikuume moyoni hadi ukome, sasa Dimpoz kaukomesha ukoo mzima.