Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Hiyo diss angeijibu kwa wimbo,halafu kwanj cinderella aliyeianzusha ni kiba pekee?mbona kuna nyimbo telw na story za Cinderella kujishtukia bana
Kwanini mnalazimisha ajibu kwa nyimbo kwani kunasehemu mlikaanao mkakubaliana wawe wanajibizana kwa nyimbo????

Diss inajibiwa popote ili mradi ikuume moyoni hadi ukome, sasa Dimpoz kaukomesha ukoo mzima.
 
433f4bcdc8bd58c042d6240a0cd9bbe9.jpg
 
Msanii gani anayetokwa povu bila wimbo. Kafuliaaa
Kwanini mnalazimisha ajibu kwa nyimbo kwani kunasehemu mlikaanao mkakubaliana wawe wanajibizana kwa nyimbo????

Diss inajibiwa popote ili mradi ikuume moyoni hadi ukome, sasa Dimpoz kaukomesha ukoo mzima.
 
Hee shosti story inakuhusu nn sio kwa povu hili hahahaaah
ulshawah kumpa ilo tundu lako akashindwa kulitatua?


vp mama umevurugwa nn au stress?

we unatukania watu mamazao humu af unapinga mama domo kutukanwa...... unajielewa kweli?


try me
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
heeheheeh.... heeheheehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

try me
 
Ni kaswali tu shosti mi akhaaaaa sinaaaaaaaaaaaaa na wala siutaki

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Hivi kweli hiki ndicho matumbo ya wanawake huu zaa?

Niliwah kusema hapa hawa wanaume tunawapa sis kiburi cha kututukana kwa jinsi watakavyo kwsabb hatupendani wala hatuna umoja

Leo katukanwa Kendra kesho itakua zamu ya mwingine. Hapa ukweli wanawake yatupasa kupaza sauti zetu kwa Pamoja. Tukatae huu ujinga na udhalilishaji unaofanywa na wanaume and this time watt wetu wenyewe wa kuwazaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanasababisha washabiki waanze kuutafuta wimbo wa fresh remix kwa nguvu... hawa wa upande huu wange kaa kimya ingetosha...

hapa iliposika Mondi akitoa song watu watakuwa makini kujua kuna nini... kwa sababu ya watu wa upande huu walivyo hamaki....
 
Back
Top Bottom