Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Hii inanikumbusha vita kuu ya pili ya dunia. Mjapani aliapa atapigana hadi tone la mwisho na hataacha vita. Ila baada ya kombola la Nagasaki na Hiroshima kuangushwa na marekani aliomba poo mara moja. Kwa silaha aliyotumia ommy dimpoz sidhani kama diamond ataendeleza mipasho. Yaani ni kwamba kombola la dimpoz limesambaratisha familia ya diamond mpaka mashabiki wanaweweseka. Nakupongeza dimpoz kwa kutumia silaha ya maangamizi, maana hata marekani asingetumia silaha ya maaangamizi vita kuu ya pili isingekwisha.
 
[emoji3] [emoji3]

brain is the beautiful part of the body.
 
Daaah... Yaani mnasema kuwa:
Dimpoz ko poz amemgonga mama yake DomoPlatnumz???
Ebanaeeeeeeeeee..... Imoooooooooooooo!!!!!
Mimi sijasema. Coz ommy inajulikana kabisa ni demu mwenye sura ya kiume
 
dahh!! na hiyo picha ni ya usiku sijui walitoka kula futari au mwana alipiga mzigo kweli maana bi mkubwa kalegea kinoma. Ila ommy kampa kubwa mwenzake kwa kweli ila alimpa tahadhari..ALL IN ALL WATOTO WAHESHIMU WAZAZI NA WAZAZI WAJIHESIMU KUEPUKA MADHARA YA UTANDAWAZI
 
Back
Top Bottom