Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
What is the logic behind your question? Kifalsa inaaminika kilamuuliza swali ana jibu. Sema huwa anauliza ili kuona kama jibu lake ni sahiiKama chameleon amepewa dola 50,000 je faida ya hiyo filamu ikiingia sokoni itakuwa ngapi? jumlisha na gharama ku-shoot USA.
Kama kila anayeuliza ana jibu basi na wewe una jibu ndo maana umeuliza.What is the logic behind your question? Kifalsa inaaminika kilamuuliza swali ana jibu. Sema huwa anauliza ili kuona kama jibu lake ni sahii
MutaHivi Saida nae si nyimbo yake ilitumika kwa movie ya Mr.Perry Nani alilipwa kati ya Muta na saida
Na vipi kuhusu matarajio ya mauzo baada ya filamu kuingia sokoni, au sio bongo muvi hiyo?(nimeliza ila sina jibu).Ndio mimi jibu langu ni kuwa unahisi walt Disney hawwezi lulipa usd 50000 kwani watapata hasara. Kwa taarifa tu gharama za maandalizi tu ilikuwa zaidi ya dola millioni moja na nusu
Kwel kabisa, pia mtu akikuuliza swali kabla ya kumjibu pia lazima ujue ni kwa nn ameuliza.What is the logic behind your question? Kifalsa inaaminika kilamuuliza swali ana jibu. Sema huwa anauliza ili kuona kama jibu lake ni sahii
yawezekana hawakujua, labda chameleone aliwaambia ni yakeNajiuliza tu; ina maana Walt Disney na ukubwa + plus ukongwe wao kwenye game, hawakuliona hilo toka mwanzo?
Tatizo Bongo huwezi jua zipi za vijiweni, zipi authentic. Watu wanachakachua hatari.
Hiyo sio bongo muvi. Lupita nyongo ni wa kimataifa zaidi. Ameshashiriki filamu na wakongwe kina brad pit. Keshabeba tuzo za oscsar ambayo bado ni ndoto ya actors wengi wakubwa marekani. This is not a matter to underestimate. P funk anaongea hadi anataka kulia. Ametumia pesa nyingi kufatilia haki yake. Anasema lawyer kumlipa kwa saa tu anatumia dola 400. Chameleon ni tapeli. Watanzania tupige kelele juu ya ujangili huu.Na vipi kuhusu matarajio ya mauzo baada ya filamu kuingia sokoni, au sio bongo muvi hiyo?(nimeliza ila sina jibu).
ogg ilikuaje mkuuu?Soggy doggy anter aliishia kutapeliwa tu mweee